Countrywide
JF-Expert Member
- Mar 2, 2015
- 21,193
- 33,577
Na akiongeza 15 ya asubuhi. Akineda kwa zahoro matelephone anapata simu yankuvunjia Nazi hahahahahunatumia simu ya elfu 40, unamhonga demu elfu 50.
ukisikia balance diet ndio hiyo
Unapenda kula kula. Weekend jiandae. Nakutoa lunch.Niko poa, kuna madaktari humu wamenipa dawa....labda uniletee matunda tu😉😉
Oukay,, tatizo lako ikifika mida hiyo hupatikaniUnapenda kula kula. Weekend jiandae. Nakutoa lunch.
Usipige. Text normal SMS nitaiona.Oukay,, tatizo lako ikifika mida hiyo hupatikani
Oukay.. keep promiseUsipige. Text normal SMS nitaiona.
Hicho kiswaswadu ni elf 20 boss hapa aggreyunatumia simu ya elfu 40, unamhonga demu elfu 50.
ukisikia balance diet ndio hiyo
Vipesa vya ugali bamia haviwezi kukosekanaKo mnakula makaratasi?![]()

Ndio maana nikashauri hapo kuwa wanawake nao wajifunze kupambana, wafanye kazi sana ili kusaidia mnaodate kutokumpa kijana wake majukumu mazito kwasababu ni kweli kuwa si majukumu yake hasa mkiwa wapenzi tu wa kawaida.Ninachoona mimi ninashindwa kucofirm kwamba huyo mdada anamchuna au lah! May be Paul dybala amempenda mdada ambaye mwenye majukumu mengi na pia hana shughuli mjini Ndio Maana anajikuta anabeba mzigo mzima wa bidada na yeye hana kipato kikubwa kama ni hivyo ni ngumu kwahuyo bidada kujiendesha bila msaada wa kijana wetu hapo atajikuta huyo manzi anatafuta mwanaume mwingine wasaidiane na kijana wetu huyu.
Ushauri wangu kwako Paul dybala ili uondokane na hiyo kazia tafuta mwanamke ambaye mpambanaji independent ambaye hamtegemei kwa asimilia 100 mwanaume na mwenye upendo Ndio unaweza ukaendesha vizuri mahusiano yako.
Nawashauri vijana waende na ChaputaUko sahihi, kama unamiaka chini ya 28 na unafanya kazi ngumu na kipato si toshelevu, jikite katika kujijenga wewe kwanza kwaajili ya future yako.
Watoto wa kike nao wakajifunze kufanya kazi, hata kama hajasoma, anaweza kufanya Kazi saluni, mama lishe, dukani etc. Kumtegemea mwanaume ambaye ni mdogo na hajakuoa ni uonevu.
Ila mdogo wangu sikufichi, itahitaji mwanamke muelewa sana ili akupe papuchi Lu yake kama we humjali kwa mambo yake, uchaguzi ni wako, kutafuta mwanamke muelewa, au kujiunga na Chaputa.
Ur not alone na mm ni kapuku tena wa kutupwa 😁😁😁😁ukihongwa na matajiri huko usinisahau ka laki ka faster basiJf maskini peke yangu aiseee!!
Hekaheka inaanza mtu akileta uzi wa kuliwa pesa ndio ninapoona maboss na matajiri wa michongo wanaibuka![]()
Vipesa vya ugali bamia haviwezi kukosekana![]()




Hujambo binti mrembo🤣Aweeee subutu hiyo hela labda niwe nmeichambia ndyo nitume😂😂😂😂😂😂