Ninachoona mimi ninashindwa kucofirm kwamba huyo mdada anamchuna au lah! May be
Paul dybala amempenda mdada ambaye mwenye majukumu mengi na pia hana shughuli mjini Ndio Maana anajikuta anabeba mzigo mzima wa bidada na yeye hana kipato kikubwa kama ni hivyo ni ngumu kwahuyo bidada kujiendesha bila msaada wa kijana wetu hapo atajikuta huyo manzi anatafuta mwanaume mwingine wasaidiane na kijana wetu huyu.
Ushauri wangu kwako
Paul dybala ili uondokane na hiyo kazia tafuta mwanamke ambaye mpambanaji independent ambaye hamtegemei kwa asimilia 100 mwanaume na mwenye upendo Ndio unaweza ukaendesha vizuri mahusiano yako.