Kazi kazi
Atafte kazi uyo demsasa wewe mkuu wangu unataka hela apewe na nani?
Mwenyewe nimeshangaa bff kweli ka nauli ka Moshi tu kadunchu kashindwa kumpa mwenzie? 😂😂😂Yaani hawajui lugha ya mapenzi hawa...hata nauli tu kashindwa kumpa mwenzie
QulalakeMkuu Melo, muanzishie jamaa jukwaa lake.
Malalamiko ya kila siku ya maisha yake na mpenzi wake.
Kaka Yuko realHuyo Paul dybala sio kwamba anatafuta uchi ni kwamba amempenda huyo manzi sema anacholalamikia ni kuwa anatoa sana hela basi
Dogo unaendeleaje? Still bad nimtume boda dawa? PoleHongera sana
DahUko sahihi, kama unamiaka chini ya 28 na unafanya kazi ngumu na kipato si toshelevu, jikite katika kujijenga wewe kwanza kwaajili ya future yako.
Watoto wa kike nao wakajifunze kufanya kazi, hata kama hajasoma, anaweza kufanya Kazi saluni, mama lishe, dukani etc. Kumtegemea mwanaume ambaye ni mdogo na hajakuoa ni uonevu.
Ila mdogo wangu sikufichi, itahitaji mwanamke muelewa sana ili akupe papuchi yake kama we humjali kwa mambo yake, uchaguzi ni wako, kutafuta mwanamke muelewa, au kujiunga na Chaputa.



Ushauri mzuri ila una twist Mbovu sana Niko poa, kuna madaktari humu wamenipa dawa....labda uniletee matunda tu😉😉Dogo unaendeleaje? Still bad nimtume boda dawa? Pole
Ipo hivi jamaa alitakiwa ajue ni aina gani ya mwanamke ambaye yupo nae kimahusiano unaweza ukasema mwanamke hampendi Kumbe huyo manzi ni mdada ambaye ana majukumu alafu hana mishe yoyote hapa mjini so anamtegemea mwanaume kwa asilimia zote kwa namna hiyo lazima awe anaombwa sana mwana asipo muomba yeye nani mwingine atamuombaKaka Yuko real
Anawaza na maisha yao ya badae
Ila dada hapana,hamuonei huruma mwenzie
Yaani mwenzio afu 15 kaona amempa laki na thread ameleta wooiMwenyewe nimeshangaa bff kweli ka nauli ka Moshi tu kadunchu kashindwa kumpa mwenzie? 😂😂😂
Emu atume chap wifi yangu akazie msiba
ASA mkuu nikitaka nimfatilie Tena Ile ishu ya mjini ndio roho inauma zaidiAna issue mjini anafatilia halafu simu ikazimika?? Dah .

acha tu mkuu mtoto akalegeza sauti nikajikuta nimetulia tu nimpe nafasi ya pili ..Ila huenda mbele akajirekebishaUwezo wake ni wa kawaida, au maskini hawaruhusiwi kupenda?Mwenyewe nimeshangaa bff kweli ka nauli ka Moshi tu kadunchu kashindwa kumpa mwenzie?
Emu atume chap wifi yangu akazie msiba
