flulanga
JF-Expert Member
- Jul 1, 2016
- 4,861
- 6,407
Wapi inauzwa 40k hiyo simu?? Hiyo ni 22kunatumia simu ya elfu 40, unamhonga demu elfu 50.
ukisikia balance diet ndio hiyo


Wapi inauzwa 40k hiyo simu?? Hiyo ni 22kunatumia simu ya elfu 40, unamhonga demu elfu 50.
ukisikia balance diet ndio hiyo


Moshi au sio!!Ndio mkuu umetokea Moshi ni mamaake mkubwa kafiwa na mtoto wake kwahiyo ndio wanaenda msibani Leo mchna
Hata mi Kuna mda nahisi ananipenda tatizo comment nyingi zinataka nimuacheHuyo mwanamke anakupenda na ana huruma na wewe, hapo ilitakiwa umpe nauli na pesa ya kula njiani.
Si unajua mwenzio kafiwa??
Emu mtumie pesa ya rambirambi kwanza
Achana nao wao wanatoa pesa nyingi zaidi ya hizo mwayaHata mi Kuna mda nahisi ananipenda tatizo comment nyingi zinataka nimuache
sasa wewe mkuu wangu unataka hela apewe na nani?Wakuu Jana bana wakati napata kifungua kinywa,mpenzi wangu akanicheki kunijulia hali.
Bhasi bana baada ya salamu akanipiga mzinga Tena...eti ananiomba hela akasuke...nikamwambia embu subiri Kwanza ...usitake kuniambia Ile elfu 50k ushamaliza nanimekupa tumeshinda Jana yani siku moja tu usiseme hauna hela...
Nikamwambia sikiliza nikwambie kitu hii tabia ya kipuuzi Mimi siifagiliii Wala Nini kwa maana unanitisha Kwanza naogopa hata kukupigia simu...maana nikipiga simu tu huishiwi Jambo.
Nikamwambia Mimi hela natafuta kwa jasho na unajua na piga kazi ngumu Sasa unapaswa ujue kuwa pesa sitafuti kwa ajili yangu pekee angu Mimi natafuta ili badae tuishi vizuri na pia nataka tufanye biashara ili usikose shughuli ya kufanya..Sasa Kila siku umekuwa nimuhitaji unafikili tutapiga hatua lini?
Akawa mpole Sana na kukiri Sana kuwa amekosea Sana lakini akadai kuwa Hana mtu mwingine wa kumuomba hela,Mimi ndio mpenzi wake Sasa akamuombe nani?
Akaendelea kwa kusema kuwa Ile 50k hakufanya chochote zaidi alinunua gas na chakula ndani kwa hio nywele zake zimefumuka anataka nimpe 15K akasuke...
Mimi nikamwambia sikia ninakupa hii 15k kwa Mara ya mwisho sitokuwa tayari Kila siku kukupa hela pasipo wewe kutokuwa mvumulivu ...
akaniambia anajua na anaelewa kuwa nakwazika ntajisikia vibaya Ila ndio atajirekebisha na hatakua ananiomba Kila siku.
Nikamtumia Kisha nikampotezea siku nzima...ilivofika jioni nikawaza nikasema kwanini nisimwite hata nijipoze machungu kwa Mara ya pili...
Nilivomcheki akasema yuko mjini akiwahi kutoka atapitia ghetto,nikamwambia poa...ilivofika sa tatu usiku akanitumia meseji anaona atachelewa kurudi kwa sabb Kuna ishu anafatilia mjini hivyo lakini nisijali atakuja baada ya siku tatu kwakuwa anaenda msibani..hii kweli nafahamu ni msiba umetokea mkoani Moshi...
Leo asubuhi sa 12 kanipigia na kuniomba msamaha Sana Jana simu yake ilizima Ila Leo hajaomba hela ...akaniambia nisiwaze atanimic Sana kwa hio anaenda msibani atakaa siku tatu...
Mimi kwa Sasa nimeona niwe mpole tu...niendelee na Mambo yangu Kama ni wangu atakuwa wangu tu naona natumia nguvu Sana Hadi moyo unaniuma nikilala usiku.View attachment 2792185
Yaani hawajui lugha ya mapenzi hawa...hata nauli tu kashindwa kumpa mwenzieHuyo mwanamke anakupenda na ana huruma na wewe, hapo ilitakiwa umpe nauli na pesa ya kula njiani.
Si unajua mwenzio kafiwa??
Emu mtumie pesa ya rambirambi kwanza
KWan unavyo type hausikii maumivu ya vidole mkuu? Au ulikua umejilaza hapo kwenye koch la reception wakat una post ? 😉😉😉😂😂Mbona balanced diet 😃😂😂😂
Ahahahahahah.Yaani hawajui lugha ya mapenzi hawa...hata nauli tu kashindwa kumpa mwenzie
Ila wewe jamaa hapana kwakweli 😂😂😂🙌KWan unavyo type hausikii maumivu ya vidole mkuu? Au ulikua umejilaza hapo kwenye koch la reception wakat una post ? 😉😉😉😂😂
Hahaaaaa, mzee unataka kijana akajinyinge? Acha atoe sumu zake humu jukwaani.Mkuu Melo, muanzishie jamaa jukwaa lake.
Malalamiko ya kila siku ya maisha yake na mpenzi wake.
Huyo Paul dybala sio kwamba anatafuta uchi ni kwamba amempenda huyo manzi sema anacholalamikia ni kuwa anatoa sana hela basiUnapotoa kitu hakikisha unatoa bila kulalamika Wala kumlaumu mpokeaji then wewe ni mtu mjanja unategemea utoe pesa ili upate uchi kitu ambacho kitakufanya kuukalibisha umasikini kwa haraka
Hapana tena!! Haya bwana we nikatae tu . 😂Ila wewe jamaa hapana kwakweli 😂😂😂🙌
Ninachoona mimi ninashindwa kucofirm kwamba huyo mdada anamchuna au lah! May be Paul dybala amempenda mdada ambaye mwenye majukumu mengi na pia hana shughuli mjini Ndio Maana anajikuta anabeba mzigo mzima wa bidada na yeye hana kipato kikubwa kama ni hivyo ni ngumu kwahuyo bidada kujiendesha bila msaada wa kijana wetu hapo atajikuta huyo manzi anatafuta mwanaume mwingine wasaidiane na kijana wetu huyu.Hapana, kama kipato si toshelevu hatakiwi kuchunwa, ndio nikamshauri kuwa ikiwa atapata Mwanamke muelewa waendelee kama sivyo bora kujiunga na Chaputa mpaka pale atakapoona yuko comfortable kutumia pesa zake na mtu mwingine.
Unajua nini, mimi kuna muda naongea kama dada mwenye kijana wa miaka 23, nawaza ikiwa na yeye anachunwa maana yake ni kwamba anachunwa hela zinazotoka kwangu? 😂😂😂😂 kwa kweli maisha hayana balance, tukiwaambia muachane na wanawake hadi mpate vipato vya kueleweka mtatuambi nyege hazina adabu, ndio maana kuna muda dada zenu tunakausha tu hatuwezi kuwashari kuhusu mapenzi.
We umejuaje kuwa hampendiIla huyo demu hakupendi
Mbn umepigwa ni 18k ioWapi inauzwa 40k hiyo simu?? Hiyo ni 22k![]()