Nimempa makavu mpenzi wangu

Nimempa makavu mpenzi wangu

Anaehoji simu ya batani sidhan kama anaakili timamu!! unashindwa kutumia akili ndogo tu kuwa bila smart JF utaisikia tu
Umejuaje kama hiyo smart itakuwa ni yake? Hawezi kumuazima mshikaji wake aje atoe kilio hapa afu arejeshe?
 
Mungu akuzingatie sana kila anapotuma malaika kugawa baraka zake.....maana we mwenyewe unamiliki simu Yako ya elfu 25 ila unahonga 65 ndani ya siku mbili!!Una moyo wa kipekee sana....
 
Ujue broo Mimi nayafanya yote haya kumfanya atulie na Mimi na ni tulie nifanye maisha maana swala la mke nakuwa nshamaliza Sasa katika kutafa mke ndio mwanzo wa yote hayo kutokea ... mwingine anaweza niambia wasichana wako wengi ASA sikatai ndio nakatafute msichana mbaya ambae sijampenda!?Yani akili inakataa kabisa
Mwanamke hatulizwi. Anatulia mwenyewe pale anapoanza kujielewa.
 
Umejuaje kama hiyo smart itakuwa ni yake? Hawezi kumuazima mshikaji wake aje atoe kilio hapa afu arejeshe?

Acha pumba kwa hiyo alimuomba pia tarehe 30 july afungue account😕😕


NapitaKamaRadi
 
Mkuu Mimi kumhudumia demu wangu sikatai...Ila kwanini iwe ni Kila siku?na siku nyingine si aseme hata 5000 au 3000 ye Kila siku ni 20k,15k
Unasubiri ndo uje ukutane na jini mnyonya damu?

Gharama unazotumia sasa kumuhonga, baadae atahoji umejiwekeza vipi ili kumudu maisha ya ndoa. Kwakuwa gharama ya uwezekezaji uliiweka kwake, basi atakuona bado huwezi kumudu maisha ya ndoa na atakukataa. Nawe utarudi mavumbini.

Kama ni mbususu, kuna wana wanapewaga bure kabisa na hela wanapewa.
Halafu kuna wale wanachunwa halafu wanapewa kwa masharti na ratiba au wanatafutiwa visingizio ili wanyimwe.
Halafu kuna wale wanaohonga na wananyima na wakilewa wanaibiwa.
N.k

Hapo hujamchana wala nini, ni vile amegundua umeanza kujitambua. Kwo anakuja na mbinu mpya.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom