Nimempa makavu mpenzi wangu

Nimempa makavu mpenzi wangu

Yan unampenda mtu halafu wew uumie same time dah mapenz konyo kweli😅😅
 
Huyu binti anauza duka la makapeti ambalo Sio lake ni la mme wa dada yake...halipwi kingine anajifunza kusuka salon Yan Bado hajui ufundi wa ususi ko analipia ada saloni kwa kujifundisha huo ususi
Sawa kuna kitu nimepata hapo swali la pili kwanini unaona huyo manzi anakupenda? Mambo gani umeona kutoka kwake kukuonesha kweli anakupenda? Ukinijibu Hili vizuri kuna ushauri nitakupa
 
Kwamba hapo unaona umemaliiiiza, Heeeee! Bado hujasema.
 
Dah Ushauri mzuri ila una twist Mbovu sana

Sikushauri hata Kidogo kuingia chaputa tafuta Pesa kula vizuri (kula sana mzee) fanya mazoezi kama mwili Upo piga nondo mdogo mdogo kula pushup

Piga joging ila sio sana maana zinakausha LABDA kama wewe ni bonge

Kuwa na Imani mzee nenda ibadani

Najua hapo mtaani Kuna mamanzi wanakuelewa chukua tafuta papuchi punguza mazoea

Sent using Jamii Forums mobile app
Vijana wanaelewa haya mambo basi?
 
Sawa kuna kitu nimepata hapo swali la pili kwanini unaona huyo manzi anakupenda? Mambo gani umeona kutoka kwake kukuonesha kweli anakupenda? Ukinijibu Hili vizuri kuna ushauri nitakupa
Fatilia hizi chatting Kuna muda ananipa imani kuwa anaweza kuwa anaupendo mfano ni hizi naomba zipitie kaka nijue nikae upande gan

Hapo ndio ananiga anaanza safari usiku huu.
Screenshot_20231025-223545.jpg
Screenshot_20231025-223615.jpg
 
Wakuu Jana bana wakati napata kifungua kinywa,mpenzi wangu akanicheki kunijulia hali.

Bhasi bana baada ya salamu akanipiga mzinga Tena...eti ananiomba hela akasuke...nikamwambia embu subiri Kwanza ...usitake kuniambia Ile elfu 50k ushamaliza nanimekupa tumeshinda Jana yani siku moja tu usiseme hauna hela...

Nikamwambia sikiliza nikwambie kitu hii tabia ya kipuuzi Mimi siifagiliii Wala Nini kwa maana unanitisha Kwanza naogopa hata kukupigia simu...maana nikipiga simu tu huishiwi Jambo.

Nikamwambia Mimi hela natafuta kwa jasho na unajua na piga kazi ngumu Sasa unapaswa ujue kuwa pesa sitafuti kwa ajili yangu pekee angu Mimi natafuta ili badae tuishi vizuri na pia nataka tufanye biashara ili usikose shughuli ya kufanya..Sasa Kila siku umekuwa nimuhitaji unafikili tutapiga hatua lini?

Akawa mpole Sana na kukiri Sana kuwa amekosea Sana lakini akadai kuwa Hana mtu mwingine wa kumuomba hela,Mimi ndio mpenzi wake Sasa akamuombe nani?

Akaendelea kwa kusema kuwa Ile 50k hakufanya chochote zaidi alinunua gas na chakula ndani kwa hio nywele zake zimefumuka anataka nimpe 15K akasuke...

Mimi nikamwambia sikia ninakupa hii 15k kwa Mara ya mwisho sitokuwa tayari Kila siku kukupa hela pasipo wewe kutokuwa mvumulivu ...

akaniambia anajua na anaelewa kuwa nakwazika ntajisikia vibaya Ila ndio atajirekebisha na hatakua ananiomba Kila siku.

Nikamtumia Kisha nikampotezea siku nzima...ilivofika jioni nikawaza nikasema kwanini nisimwite hata nijipoze machungu kwa Mara ya pili...

Nilivomcheki akasema yuko mjini akiwahi kutoka atapitia ghetto,nikamwambia poa...ilivofika sa tatu usiku akanitumia meseji anaona atachelewa kurudi kwa sabb Kuna ishu anafatilia mjini hivyo lakini nisijali atakuja baada ya siku tatu kwakuwa anaenda msibani..hii kweli nafahamu ni msiba umetokea mkoani Moshi...

Leo asubuhi sa 12 kanipigia na kuniomba msamaha Sana Jana simu yake ilizima Ila Leo hajaomba hela ...akaniambia nisiwaze atanimic Sana kwa hio anaenda msibani atakaa siku tatu...

Mimi kwa Sasa nimeona niwe mpole tu...niendelee na Mambo yangu Kama ni wangu atakuwa wangu tu naona natumia nguvu Sana Hadi moyo unaniuma nikilala usiku.View attachment 2792185
Piga show wewe demu akielewa show haombi hela kiboya ivo.... pia uyo demu anakuchora tuu
 
Bado ujaoa Ila unasafari ndefu, demu unamlisha Kama Hana kwao vile, eti nimenunua gesi, chakula, Mambo hayo Kama mnaishi wote tayari.
 
Mkuu Mimi kumhudumia demu wangu sikatai...Ila kwanini iwe ni Kila siku?na siku nyingine si aseme hata 5000 au 3000 ye Kila siku ni 20k,15k
Acha kulia mkuu, huyo Ke hakupendi ila anapenda pesa zako za ngama. Achana nae maana hapo hauko peke yako.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom