Paul dybala
JF-Expert Member
- Jul 30, 2023
- 553
- 2,266
- Thread starter
-
- #141
Ndio hivyo mkuu huyu manzi ndio nimemuona katika walio wengi ni vile Nampa muda wa kubadilikaHuyo Paul dybala sio kwamba anatafuta uchi ni kwamba amempenda huyo manzi sema anacholalamikia ni kuwa anatoa sana hela basi
Nimepata mwanga hapa kaka...Ila inabidi nimpe mda mchache Sana kabla siku ajaniomba laki mbiliNinachoona mimi ninashindwa kucofirm kwamba huyo mdada anamchuna au lah! May be Paul dybala amempenda mdada ambaye mwenye majukumu mengi na pia hana shughuli mjini Ndio Maana anajikuta anabeba mzigo mzima wa bidada na yeye hana kipato kikubwa kama ni hivyo ni ngumu kwahuyo bidada kujiendesha bila msaada wa kijana wetu hapo atajikuta huyo manzi anatafuta mwanaume mwingine wasaidiane na kijana wetu huyu.
Ushauri wangu kwako Paul dybala ili uondokane na hiyo kazia tafuta mwanamke ambaye mpambanaji independent ambaye hamtegemei kwa asimilia 100 mwanaume na mwenye upendo Ndio unaweza ukaendesha vizuri mahusiano yako.
[emoji24][emoji24]Acha ufala umempa makavu au umempa elfu 15?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] watu na balance diet yao mjiniii.unatumia simu ya elfu 40, unamhonga demu elfu 50.
ukisikia balance diet ndio hiyo
Nina swali kwako huyo binti ana kazi au anajishughulisha na chochote?Nimepata mwanga hapa kaka...Ila inabidi nimpe mda mchache Sana kabla siku ajaniomba laki mbili
Huyu binti anauza duka la makapeti ambalo Sio lake ni la mme wa dada yake...halipwi kingine anajifunza kusuka salon Yan Bado hajui ufundi wa ususi ko analipia ada saloni kwa kujifundisha huo ususiNina swali kwako huyo binti ana kazi au anajishughulisha na chochote?
🤣🤣🤣 Na wengi wameumizwa humu na hiyo pesa mpk wanamuita lofa!!!Yaani mwenzio afu 15 kaona amempa laki na thread ameleta wooi
Yaani kwa inavyoonekana huyo dada ana maisha mazuri kuliko huyu muhongaji elfu 15 🤣🤣🤣🤣Uwezo wake ni wa kawaida, au maskini hawaruhusiwi kupenda? [emoji23]
Watoke wapiii pangu pakavu tia mchuzi...ss sijui wanajisifiaga nn🤣🤣🤣 Na wengi wameumizwa humu na hiyo pesa mpk wanamuita lofa!!!
Aiseee!! Kumbe humu hakuna matajiri km wanavyojisifia
Watoke wapiii pangu pakavu tia mchuzi...ss sijui wanajisifiaga nn
Kabisa mkuu, achana na huyo mchunaji atakukamua mpaka damu.Ni kweli hata mi nimeona niendelee na harakati zangu sababu IPO siku atatokea manzi atanipenda
15k sio ndogo lakini, ndio uwezo wake[emoji23]Yaani kwa inavyoonekana huyo dada ana maisha mazuri kuliko huyu muhongaji elfu 15 [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Ww sio maskini, alafu wala pesa hupendi[emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Jf maskini peke yangu aiseee!!
Hekaheka inaanza mtu akileta uzi wa kuliwa pesa ndio ninapoona maboss na matajiri wa michongo wanaibuka [emoji12]
15k sio ndogo lakini, ndio uwezo wake[emoji23]
Mm hadi 3k nahonga, tunahonga kile tulichonacho jamani si tulikubaliana muhimu ni upendo tu[emoji23]
Ww sio maskini, alafu wala pesa hupendi[emoji23][emoji23]
Utakuta alie andika hivi hata kesho hajui utakula nn50k unalialia . Sasa utaweza iPhone15 wewe?
Muhimu upendo tu, pesa makaratasi[emoji23]Afu tatu?? [emoji12]
Kweli muhimu upendo, ila Moshi haendi kwa upendo anatumia bus