Nimempa makavu mpenzi wangu

Nimempa makavu mpenzi wangu

Uko sahihi, kama unamiaka chini ya 28 na unafanya kazi ngumu na kipato si toshelevu, jikite katika kujijenga wewe kwanza kwaajili ya future yako.

Watoto wa kike nao wakajifunze kufanya kazi, hata kama hajasoma, anaweza kufanya Kazi saluni, mama lishe, dukani etc. Kumtegemea mwanaume ambaye ni mdogo na hajakuoa ni uonevu.

Ila mdogo wangu sikufichi, itahitaji mwanamke muelewa sana ili akupe papuchi yake kama we humjali kwa mambo yake, uchaguzi ni wako, kutafuta mwanamke muelewa, au kujiunga na Chaputa.
Ni kweli hata mi nimeona niendelee na harakati zangu sababu IPO siku atatokea manzi atanipenda
 
Uko sahihi, kama unamiaka chini ya 28 na unafanya kazi ngumu na kipato si toshelevu, jikite katika kujijenga wewe kwanza kwaajili ya future yako.

Watoto wa kike nao wakajifunze kufanya kazi, hata kama hajasoma, anaweza kufanya Kazi saluni, mama lishe, dukani etc. Kumtegemea mwanaume ambaye ni mdogo na hajakuoa ni uonevu.

Ila mdogo wangu sikufichi, itahitaji mwanamke muelewa sana ili akupe papuchi yake kama we humjali kwa mambo yake, uchaguzi ni wako, kutafuta mwanamke muelewa, au kujiunga na Chaputa
✋🤚👐🙌👏👏
hilo neno la mwisho simshauri bwana Paul dybala alifanyie kazi.
maisha ya mahusiano hutakiwi kuyaweka sana akilini ikiwa mwenyeo hujitoshelezi, labda utafute mwenza anayeweza kujitutumua japo kidogo.

kinyume na hapo mutanyonyana damu mpaka kiama chenu cha mahusiano
 
Sasa inakuaje unakuwa Masikini wa PESA na Akili

Elfu 50 Kama upo DSM unanunua mchele kg 20 u unakula mwezi mzima na nusu

Hiyo 15k ungenunua mafuta ya alizeti ukawa unapikia wali ungependeza na kutoka shavu.

Kuwa makini sana Mwanamke mpe vitu vyote ila sio PESA Muda Mwingine set standard

Yaani uharibu elfu 65k with a single day 😭
 
nywele ndo zinakusumbua hivyo,, mwambie apige low cut avae kiremba, tena mnunulie kile hakuna matata elfu 10 au 15 . kuna vitu vyingi vya kufanya kabla ya kusuka, mbona wapo wanawake wazuri wanasuka nywele za kawaida tu na wanapendeza,, wengine low cut na bado wapo fresh.
 
Uzuri ni kuwa binti ameelewa, shida ni pale kuelewa kwake kunamfanya aanze kukupanga na mwingine, coz kiuhalisia wewe huwezi kukidhi mahitaji yake, na yeye hawezi kujimudu kimaisha.

Japo kiuhalisia, kupata Ke wa bure bure tu, au wa kuwa nae bila kutoa kidogo sahau, hawapo tena!
 
Sasa inakuaje unakuwa Masikini wa PESA na Akili

Elfu 50 Kama upo DSM unanunua mchele kg 20 u unakula mwezi mzima na nusu

Hiyo 15k ungenunua mafuta ya alizeti ukawa unapikia wali ungependeza na kutoka shavu.

Kuwa makini sana Mwanamke mpe vitu vyote ila sio PESA Muda Mwingine set standard

Yaani uharibu elfu 65k with a single day
Ujue broo Mimi nayafanya yote haya kumfanya atulie na Mimi na ni tulie nifanye maisha maana swala la mke nakuwa nshamaliza Sasa katika kutafa mke ndio mwanzo wa yote hayo kutokea ... mwingine anaweza niambia wasichana wako wengi ASA sikatai ndio nakatafute msichana mbaya ambae sijampenda!?Yani akili inakataa kabisa
 
Unapotoa kitu hakikisha unatoa bila kulalamika Wala kumlaumu mpokeaji then wewe ni mtu mjanja unategemea utoe pesa ili upate uchi kitu ambacho kitakufanya kuukalibisha umasikini kwa haraka
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom