Nimempa makavu mpenzi wangu

sasa wewe mkuu wangu unataka hela apewe na nani?
 
Mwanamke wako ukiwa nae ndani akitoka yeyote mwenye kisu anakula
Awe anaishi peke ake au anishi kwao, hivi sasa weka kipaumbele kutafuta pesa ili uchague nyama uipendayo kula,
Awa watu ukiwahdumia sana unajenga mazingira ya kuumiza roho yako pindi atakapo kupiga tukio
Jiudumie mwenyewe
 
Unapotoa kitu hakikisha unatoa bila kulalamika Wala kumlaumu mpokeaji then wewe ni mtu mjanja unategemea utoe pesa ili upate uchi kitu ambacho kitakufanya kuukalibisha umasikini kwa haraka
Huyo Paul dybala sio kwamba anatafuta uchi ni kwamba amempenda huyo manzi sema anacholalamikia ni kuwa anatoa sana hela basi
 
Ninachoona mimi ninashindwa kucofirm kwamba huyo mdada anamchuna au lah! May be Paul dybala amempenda mdada ambaye mwenye majukumu mengi na pia hana shughuli mjini Ndio Maana anajikuta anabeba mzigo mzima wa bidada na yeye hana kipato kikubwa kama ni hivyo ni ngumu kwahuyo bidada kujiendesha bila msaada wa kijana wetu hapo atajikuta huyo manzi anatafuta mwanaume mwingine wasaidiane na kijana wetu huyu.

Ushauri wangu kwako Paul dybala ili uondokane na hiyo kazia tafuta mwanamke ambaye mpambanaji independent ambaye hamtegemei kwa asimilia 100 mwanaume na mwenye upendo Ndio unaweza ukaendesha vizuri mahusiano yako.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…