ya ngoswe mwachie ngoswe, mtoa mada kaelewa vizuri sana, zingine ni siri za kiumeni.Hicho chama kina mateso gani? Mimi sifahamu sababu si mwanaume, tuelezee.
Ushauri huo mwingine mimi siwezi kumpa mtu, mshauri wewe.
Yes ni kitu kizuri pia maana wajinga wanapokuwa wengi wachache ambao wataendelea kutunza Afya ya Akili Basi watapata MAVUNO makubwa hapo mbeleUnfortunately huu ndio ulimwengu mliopo vijana.
Wengine sisi lived in better old days.
Swali zuri🤣Una Miaka Mingapi?
Sasa vijana wadogo wanaoweza kufanya maamuzi kama yako wanaweza wasifike 100.Nimekuelewa saana na hili nimelitumia saana kuna muda nilikua na hali ngumu kimaisha kiukweli mapenzi niliweka pembeni na nikizidiwa ilikua nachukua sheria mkononi mara moja moja. Au kunaa mabinti hawaombi sana na waanaridhika hata na kidgo au kwao ziwepo hawana tabu saana. Ila binti kwao tia maji unatongoza tu kawa yatima kila hitaji lake ww ndio mtatuzi
Huwezi 🤣Hapana hapa namkazia saivi akiomba
Sawasawa.ya ngoswe mwachie ngoswe, mtoa mada kaelewa vizuri sana, zingine ni siri za kiumeni.
Ila huyo demu hakupendiNi kweli hata mi nimeona niendelee na harakati zangu sababu IPO siku atatokea manzi atanipenda
😅Afu nimegundua mtu yoyote akileta story ya mapenzi mnamuattack na maswali ya umri wake...hii sio njia nzuri kutoa hoja coz no matter how atajibu utamcrush..Akiwa mkubwa utasema kubwa jinga Akiwa mdogo utasema mtoto...so be careful tuUna Miaka Mingapi?
Sasa mbona nikichukia nikisema nimkaushie siku nzima lazima aje anitafute Kama hanipendi si na yeye akaushe tu?Ila huyo demu hakupendi
Ni Kwa sbb unampa HelaSasa mbona nikichukia nikisema nimkaushie siku nzima lazima aje anitafute Kama hanipendi si na yeye akaushe tu?
Mtoa mada bado haijui dunia, afanye hilo zoezi atapata matokeo chaap!Si Kwa sbb unampa Hela
Hata mi ningejifanya fala Ili nipate nachotaka!
Acha kumpa Hela uone km atakutafuta!
Yaani Bado sn huyuMtoa mada bado haijui dunia, afanye hilo zoezi atapata matokeo chaap!
Thread closed!...unatumia simu ya elfu 40, unamhonga demu elfu 50.
ukisikia balance diet ndio hiyo
Sisemi hivi kuwachonganisha au kukuvunja moyo, but mm naona kama huyo demu hakupendi, yupo na wewe kwa sababu anai enjoy hivo viela unavomhonga navyo kila siku, mwanamke anayekupenda anakuwa mvumilivu hata usipompa hela, siku ukiishiwa hela hatobaki. Wanawake wanaombaomba hela kwa mtindo huo kuwa nao makini, na usikute ana wapenzi wengine, anza kufanya uchunguzi.Wakuu Jana bana wakati napata kifungua kinywa,mpenzi wangu akanicheki kunijulia hali.
Bhasi bana baada ya salamu akanipiga mzinga Tena...eti ananiomba hela akasuke...nikamwambia embu subiri Kwanza ...usitake kuniambia Ile elfu 50k ushamaliza nanimekupa tumeshinda Jana yani siku moja tu usiseme hauna hela...
Nikamwambia sikiliza nikwambie kitu hii tabia ya kipuuzi Mimi siifagiliii Wala Nini kwa maana unanitisha Kwanza naogopa hata kukupigia simu...maana nikipiga simu tu huishiwi Jambo.
Nikamwambia Mimi hela natafuta kwa jasho na unajua na piga kazi ngumu Sasa unapaswa ujue kuwa pesa sitafuti kwa ajili yangu pekee angu Mimi natafuta ili badae tuishi vizuri na pia nataka tufanye biashara ili usikose shughuli ya kufanya..Sasa Kila siku umekuwa nimuhitaji unafikili tutapiga hatua lini?
Akawa mpole Sana na kukiri Sana kuwa amekosea Sana lakini akadai kuwa Hana mtu mwingine wa kumuomba hela,Mimi ndio mpenzi wake Sasa akamuombe nani?
Akaendelea kwa kusema kuwa Ile 50k hakufanya chochote zaidi alinunua gas na chakula ndani kwa hio nywele zake zimefumuka anataka nimpe 15K akasuke...
Mimi nikamwambia sikia ninakupa hii 15k kwa Mara ya mwisho sitokuwa tayari Kila siku kukupa hela pasipo wewe kutokuwa mvumulivu ...
akaniambia anajua na anaelewa kuwa nakwazika ntajisikia vibaya Ila ndio atajirekebisha na hatakua ananiomba Kila siku.
Nikamtumia Kisha nikampotezea siku nzima...ilivofika jioni nikawaza nikasema kwanini nisimwite hata nijipoze machungu kwa Mara ya pili...
Nilivomcheki akasema yuko mjini akiwahi kutoka atapitia ghetto,nikamwambia poa...ilivofika sa tatu usiku akanitumia meseji anaona atachelewa kurudi kwa sabb Kuna ishu anafatilia mjini hivyo lakini nisijali atakuja baada ya siku tatu kwakuwa anaenda msibani..hii kweli nafahamu ni msiba umetokea mkoani Moshi...
Leo asubuhi sa 12 kanipigia na kuniomba msamaha Sana Jana simu yake ilizima Ila Leo hajaomba hela ...akaniambia nisiwaze atanimic Sana kwa hio anaenda msibani atakaa siku tatu...
Mimi kwa Sasa nimeona niwe mpole tu...niendelee na Mambo yangu Kama ni wangu atakuwa wangu tu naona natumia nguvu Sana Hadi moyo unaniuma nikilala usiku.View attachment 2792185
Ushauri mzuri sna huu...Ila kaka nimuachaje Sasa...nimuache ghafla tu?au niwe naendelea kuwasiliana nimuache mdogomdogo...maana nahisi ataona simjali sna na hapa lengo Sio kubomoa...Mimi Kuna mda najikuta nampigia tu hata kitu Cha kukwambia Sina Ila akipokea tu simu najiskia vizuriSisemi hivi kuwachonganisha au kukuvunja moyo, but mm naona kama huyo demu hakupendi, yupo na wewe kwa sababu anai enjoy hivo viela unavomhonga navyo kila siku, mwanamke anayekupenda anakuwa mvumilivu hata usipompa hela, siku ukiishiwa hela hatobaki. Wanawake wanaombaomba hela kwa mtindo huo kuwa nao makini, na usikute ana wapenzi wengine, anza kufanya uchunguzi.
Au kama vipi Achana nae, jijenge kwanza wewe, mmea wakati unakua hauna habari na nyuki, hutumia mbolea na maji inayopata kutengeneza maua mazuri yenye nta, baada ya hapo nyuki huja wenyew....kwaio jitengeneze wewe kwanza.