Nimempa makavu mpenzi wangu

Nimempa makavu mpenzi wangu

😁😁😁😁 kwa hiyo achunwe tu au vipi
Hapana, kama kipato si toshelevu hatakiwi kuchunwa, ndio nikamshauri kuwa ikiwa atapata Mwanamke muelewa waendelee kama sivyo bora kujiunga na Chaputa mpaka pale atakapoona yuko comfortable kutumia pesa zake na mtu mwingine.

Unajua nini, mimi kuna muda naongea kama dada mwenye kijana wa miaka 23, nawaza ikiwa na yeye anachunwa maana yake ni kwamba anachunwa hela zinazotoka kwangu? 😂😂😂😂 kwa kweli maisha hayana balance, tukiwaambia muachane na wanawake hadi mpate vipato vya kueleweka mtatuambi nyege hazina adabu, ndio maana kuna muda dada zenu tunakausha tu hatuwezi kuwashari kuhusu mapenzi.
 
Mkuu Mimi kumhudumia demu wangu sikatai...Ila kwanini iwe ni Kila siku?na siku nyingine si aseme hata 5000 au 3000 ye Kila siku ni 20k,15k
Kuwa BAHILI Kama unataka MAFANIKIO ukishakuwa na MAFANIKIO hao wanawake wanakuangaisha watajaa Sana Hadi utakosa pakuwaweka so wewe Kama ni Masikini wa PESA kuwa usikubali kuwa Masikini wa akili
 
Kijana mwanamke anahitaji matunzo,tena matunzo haswa ukiona majukumu hayo huyawezi basi kaa kando wenzako wahudumie.
Kwa maelezo ya binti yuko sahihi kukuomba cash.
Fanya kazi mzee,toka magetoni,tafuta pesa 😁😁😁😁(jokes)
Mwanamke ananitaji matunzo.
 
Uko sahihi, kama unamiaka chini ya 28 na unafanya kazi ngumu na kipato si toshelevu, jikite katika kujijenga wewe kwanza kwaajili ya future yako.

Watoto wa kike nao wakajifunze kufanya kazi, hata kama hajasoma, anaweza kufanya Kazi saluni, mama lishe, dukani etc. Kumtegemea mwanaume ambaye ni mdogo na hajakuoa ni uonevu.

Ila mdogo wangu sikufichi, itahitaji mwanamke muelewa sana ili akupe papuchi yake kama we humjali kwa mambo yake, uchaguzi ni wako, kutafuta mwanamke muelewa, au kujiunga na Chaputa.
Wewe unamdanganya mwenzako aende CHAPUTA kwa kua hujui mateso ya hicho chama, hapo aachne na huyo manzi aingie katika kununua Nyapu, simple sana, hiyo 65K akitafuta wa elfu kumi kumi anamaliza mahitaji ya mwezi mzima, make hatakua anaenda kila siku.
 
Hapana, kama kipato si toshelevu hatakiwi kuchunwa, ndio nikamshauri kuwa ikiwa atapata Mwanamke muelewa waendelee kama sivyo bora kujiunga na Chaputa mpaka pale atakapoona yuko comfortable kutumia pesa zake na mtu mwingine.

Unajua nini, mimi kuna muda naongea kama dada mwenye kijana wa miaka 23, nawaza ikiwa na yeye anachunwa maana yake ni kwamba anachunwa hela zinazotoka kwangu? 😂😂😂😂 kwa kweli maisha hayana balance, tukiwaambia muachane na wanawake hadi mpate vipato vya kueleweka mtatuambi nyege hazina adabu, ndio maana kuna muda dada zenu tunakausha tu hatuwezi kuwashari kuhusu mapenzi.
Nimekuelewa saana na hili nimelitumia saana kuna muda nilikua na hali ngumu kimaisha kiukweli mapenzi niliweka pembeni na nikizidiwa ilikua nachukua sheria mkononi mara moja moja. Au kunaa mabinti hawaombi sana na waanaridhika hata na kidgo au kwao ziwepo hawana tabu saana. Ila binti kwao tia maji unatongoza tu kawa yatima kila hitaji lake ww ndio mtatuzi
 
Tafuta hela mkuu! 15k unalalamika, mtu kaenda msibani ujampa hata hela ya kula njiani.
Amhudumie kwani mkewe? Kesho akiachwa nani anarudisha hizo gharama, msiwadanganye vijana jamani, atoe anapoweza ila sio jukumu lake kuhudumia, hata papa hapewi anapotaka. Mkuu Paul dybala kuwa makini na hawa watu, sio mkeo huyo.
 
Wakuu Jana bana wakati napata kifungua kinywa,mpenzi wangu akanicheki kunijulia hali.

Bhasi bana baada ya salamu akanipiga mzinga Tena...eti ananiomba hela akasuke...nikamwambia embu subiri Kwanza ...usitake kuniambia Ile elfu 50k ushamaliza nanimekupa tumeshinda Jana yani siku moja tu usiseme hauna hela...

Nikamwambia sikiliza nikwambie kitu hii tabia ya kipuuzi Mimi siifagiliii Wala Nini kwa maana unanitisha Kwanza naogopa hata kukupigia simu...maana nikipiga simu tu huishiwi Jambo.

Nikamwambia Mimi hela natafuta kwa jasho na unajua na piga kazi ngumu Sasa unapaswa ujue kuwa pesa sitafuti kwa ajili yangu pekee angu Mimi natafuta ili badae tuishi vizuri na pia nataka tufanye biashara ili usikose shughuli ya kufanya..Sasa Kila siku umekuwa nimuhitaji unafikili tutapiga hatua lini?

Akawa mpole Sana na kukiri Sana kuwa amekosea Sana lakini akadai kuwa Hana mtu mwingine wa kumuomba hela,Mimi ndio mpenzi wake Sasa akamuombe nani?

Akaendelea kwa kusema kuwa Ile 50k hakufanya chochote zaidi alinunua gas na chakula ndani kwa hio nywele zake zimefumuka anataka nimpe 15K akasuke...

Mimi nikamwambia sikia ninakupa hii 15k kwa Mara ya mwisho sitokuwa tayari Kila siku kukupa hela pasipo wewe kutokuwa mvumulivu ...

akaniambia anajua na anaelewa kuwa nakwazika ntajisikia vibaya Ila ndio atajirekebisha na hatakua ananiomba Kila siku.

Nikamtumia Kisha nikampotezea siku nzima...ilivofika jioni nikawaza nikasema kwanini nisimwite hata nijipoze machungu kwa Mara ya pili...

Nilivomcheki akasema yuko mjini akiwahi kutoka atapitia ghetto,nikamwambia poa...ilivofika sa tatu usiku akanitumia meseji anaona atachelewa kurudi kwa sabb Kuna ishu anafatilia mjini hivyo lakini nisijali atakuja baada ya siku tatu kwakuwa anaenda msibani..hii kweli nafahamu ni msiba umetokea mkoani Moshi...

Leo asubuhi sa 12 kanipigia na kuniomba msamaha Sana Jana simu yake ilizima Ila Leo hajaomba hela ...akaniambia nisiwaze atanimic Sana kwa hio anaenda msibani atakaa siku tatu...

Mimi kwa Sasa nimeona niwe mpole tu...niendelee na Mambo yangu Kama ni wangu atakuwa wangu tu naona natumia nguvu Sana Hadi moyo unaniuma nikilala usiku.View attachment 2792185
Huna akili...Uzi kama hizi ndizo zinafanya vijana waonekane wa ovyo
 
Wewe unamdanganya mwenzako aende CHAPUTA kwa kua hujui mateso ya hicho chama, hapo aachne na huyo manzi aingie katika kununua Nyapu, simple sana, hiyo 65K akitafuta wa elfu kumi kumi anamaliza mahitaji ya mwezi mzima, make hatakua anaenda kila siku.
Hicho chama kina mateso gani? Mimi sifahamu sababu si mwanaume, tuelezee.

Ushauri huo mwingine mimi siwezi kumpa mtu, mshauri wewe.
 
Hapana, kama kipato si toshelevu hatakiwi kuchunwa, ndio nikamshauri kuwa ikiwa atapata Mwanamke muelewa waendelee kama sivyo bora kujiunga na Chaputa mpaka pale atakapoona yuko comfortable kutumia pesa zake na mtu mwingine.

Unajua nini, mimi kuna muda naongea kama dada mwenye kijana wa miaka 23, nawaza ikiwa na yeye anachunwa maana yake ni kwamba anachunwa hela zinazotoka kwangu? 😂😂😂😂 kwa kweli maisha hayana balance, tukiwaambia muachane na wanawake hadi mpate vipato vya kueleweka mtatuambi nyege hazina adabu, ndio maana kuna muda dada zenu tunakausha tu hatuwezi kuwashari kuhusu mapenzi.
Sehemu ya mkojo inapofananishwa na Pesa huwa nashangaa Sana ndo huyo akiingia kwangu lazima ajute Sana yaani Sehemu yake ya mkojo chafu imfanye achukue PESA zangu hiyo sio rahisi
 
Unaharibu sasa! Unampa skills ya enzi zenu hii karne ya 21
Acheni kuwalaghai madogo, atoe huduma kwa mtu sio mkewe?
Dogo atafute pesa ajiweke sawa kiuchumi, amsaidie gf wake ila sio kutoa huduma.

Tunawafubdisha vijana wasijeharibikiwa, hata enzi zetu watu walihonga sana, hadi wanastaafu hawana hata nyumba...
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom