Poor Brain
JF-Expert Member
- Jul 5, 2019
- 27,494
- 55,141
Daaah i hili swali linakera sana ๐๐๐๐๐Una Miaka Mingapi?
Daaah i hili swali linakera sana ๐๐๐๐๐Una Miaka Mingapi?
๐๐๐๐๐๐๐ balance nini!!!?unatumia simu ya elfu 40, unamhonga demu elfu 50.
ukisikia balance diet ndio hiyo
Mmmh hapa sasaUmesema huo msiba umetokea Moshi?
Ndio mkuu umetokea Moshi ni mamaake mkubwa kafiwa na mtoto wake kwahiyo ndio wanaenda msibani Leo mchnaUmesema huo msiba umetokea Moshi?
Hajui Kwanza hata jfMtumie mpenzi wako link ya huu uzi...
Kuwa seriously mkuuMtumie mpenzi wako link ya huu uzi...
Mmmh we unaonekana unampenda.Ushauri mzuri sna huu...Ila kaka nimuachaje Sasa...nimuache ghafla tu?au niwe naendelea kuwasiliana nimuache mdogomdogo...maana nahisi ataona simjali sna na hapa lengo Sio kubomoa...Mimi Kuna mda najikuta nampigia tu hata kitu Cha kukwambia Sina Ila akipokea tu simu najiskia vizuri
Comments za humuu unawezaa chekaa mbele ya watuu mpk ukaonekanaa chizii..๐๐๐๐unatumia simu ya elfu 40, unamhonga demu elfu 50.
ukisikia balance diet ndio hiyo
Hela mnazotuma ovyo ovyo huwa mnazitoa wapi? Tupeane connection za michongo na sisi tule mema ya nchiWakuu Jana bana wakati napata kifungua kinywa,mpenzi wangu akanicheki kunijulia hali.
Bhasi bana baada ya salamu akanipiga mzinga Tena...eti ananiomba hela akasuke...nikamwambia embu subiri Kwanza ...usitake kuniambia Ile elfu 50k ushamaliza nanimekupa tumeshinda Jana yani siku moja tu usiseme hauna hela...
Nikamwambia sikiliza nikwambie kitu hii tabia ya kipuuzi Mimi siifagiliii Wala Nini kwa maana unanitisha Kwanza naogopa hata kukupigia simu...maana nikipiga simu tu huishiwi Jambo.
Nikamwambia Mimi hela natafuta kwa jasho na unajua na piga kazi ngumu Sasa unapaswa ujue kuwa pesa sitafuti kwa ajili yangu pekee angu Mimi natafuta ili badae tuishi vizuri na pia nataka tufanye biashara ili usikose shughuli ya kufanya..Sasa Kila siku umekuwa nimuhitaji unafikili tutapiga hatua lini?
Akawa mpole Sana na kukiri Sana kuwa amekosea Sana lakini akadai kuwa Hana mtu mwingine wa kumuomba hela,Mimi ndio mpenzi wake Sasa akamuombe nani?
Akaendelea kwa kusema kuwa Ile 50k hakufanya chochote zaidi alinunua gas na chakula ndani kwa hio nywele zake zimefumuka anataka nimpe 15K akasuke...
Mimi nikamwambia sikia ninakupa hii 15k kwa Mara ya mwisho sitokuwa tayari Kila siku kukupa hela pasipo wewe kutokuwa mvumulivu ...
akaniambia anajua na anaelewa kuwa nakwazika ntajisikia vibaya Ila ndio atajirekebisha na hatakua ananiomba Kila siku.
Nikamtumia Kisha nikampotezea siku nzima...ilivofika jioni nikawaza nikasema kwanini nisimwite hata nijipoze machungu kwa Mara ya pili...
Nilivomcheki akasema yuko mjini akiwahi kutoka atapitia ghetto,nikamwambia poa...ilivofika sa tatu usiku akanitumia meseji anaona atachelewa kurudi kwa sabb Kuna ishu anafatilia mjini hivyo lakini nisijali atakuja baada ya siku tatu kwakuwa anaenda msibani..hii kweli nafahamu ni msiba umetokea mkoani Moshi...
Leo asubuhi sa 12 kanipigia na kuniomba msamaha Sana Jana simu yake ilizima Ila Leo hajaomba hela ...akaniambia nisiwaze atanimic Sana kwa hio anaenda msibani atakaa siku tatu...
Mimi kwa Sasa nimeona niwe mpole tu...niendelee na Mambo yangu Kama ni wangu atakuwa wangu tu naona natumia nguvu Sana Hadi moyo unaniuma nikilala usiku.View attachment 2792185
Asante saivi naishi kwenye hio point ya kutompa chochote...simpi hela saivi Kama ataniacha poa tu ntampata mwingine....Mmmh we unaonekana unampenda.
Kama unampenda haitokuwa rahic kuachana nae, naelewa hali yako.
Cha kufanya asaiv ebu vunga, usimpe hela, usimpe hela kabisa, alaf tathmini tabia yake, hata akianza kulalamika achana nae we usimpe, we endelea kumchunguza, hapo ndo utajua je mahusiano yenu yamejengwa juu ya hisia au juu ya kipato chako.
Alaf siku akija ghetto mshtukize, muombe simu yake ukague kila kitu, anza kweny text za kawaida, then whatsapp then telegram, usiruhusu afute vitu kwanza maana wajanja sana, yaan akija tuu cha kwamza mwombe simu, ukiona anajing'atang'ata kukupa ujue kuna vitu anakuficha.
Simple as that.
Una haki ya kugomba, sio kwa ITEL hiyo mjombaWakuu Jana bana wakati napata kifungua kinywa,mpenzi wangu akanicheki kunijulia hali.
Bhasi bana baada ya salamu akanipiga mzinga Tena...eti ananiomba hela akasuke...nikamwambia embu subiri Kwanza ...usitake kuniambia Ile elfu 50k ushamaliza nanimekupa tumeshinda Jana yani siku moja tu usiseme hauna hela...
Nikamwambia sikiliza nikwambie kitu hii tabia ya kipuuzi Mimi siifagiliii Wala Nini kwa maana unanitisha Kwanza naogopa hata kukupigia simu...maana nikipiga simu tu huishiwi Jambo.
Nikamwambia Mimi hela natafuta kwa jasho na unajua na piga kazi ngumu Sasa unapaswa ujue kuwa pesa sitafuti kwa ajili yangu pekee angu Mimi natafuta ili badae tuishi vizuri na pia nataka tufanye biashara ili usikose shughuli ya kufanya..Sasa Kila siku umekuwa nimuhitaji unafikili tutapiga hatua lini?
Akawa mpole Sana na kukiri Sana kuwa amekosea Sana lakini akadai kuwa Hana mtu mwingine wa kumuomba hela,Mimi ndio mpenzi wake Sasa akamuombe nani?
Akaendelea kwa kusema kuwa Ile 50k hakufanya chochote zaidi alinunua gas na chakula ndani kwa hio nywele zake zimefumuka anataka nimpe 15K akasuke...
Mimi nikamwambia sikia ninakupa hii 15k kwa Mara ya mwisho sitokuwa tayari Kila siku kukupa hela pasipo wewe kutokuwa mvumulivu ...
akaniambia anajua na anaelewa kuwa nakwazika ntajisikia vibaya Ila ndio atajirekebisha na hatakua ananiomba Kila siku.
Nikamtumia Kisha nikampotezea siku nzima...ilivofika jioni nikawaza nikasema kwanini nisimwite hata nijipoze machungu kwa Mara ya pili...
Nilivomcheki akasema yuko mjini akiwahi kutoka atapitia ghetto,nikamwambia poa...ilivofika sa tatu usiku akanitumia meseji anaona atachelewa kurudi kwa sabb Kuna ishu anafatilia mjini hivyo lakini nisijali atakuja baada ya siku tatu kwakuwa anaenda msibani..hii kweli nafahamu ni msiba umetokea mkoani Moshi...
Leo asubuhi sa 12 kanipigia na kuniomba msamaha Sana Jana simu yake ilizima Ila Leo hajaomba hela ...akaniambia nisiwaze atanimic Sana kwa hio anaenda msibani atakaa siku tatu...
Mimi kwa Sasa nimeona niwe mpole tu...niendelee na Mambo yangu Kama ni wangu atakuwa wangu tu naona natumia nguvu Sana Hadi moyo unaniuma nikilala usiku.View attachment 2792185
Kununua 5k ,kuhonga mwezi si chini ya laki 2 kupanga ni kuchagua๐ ๐Wewe unamdanganya mwenzako aende CHAPUTA kwa kua hujui mateso ya hicho chama, hapo aachne na huyo manzi aingie katika kununua Nyapu, simple sana, hiyo 65K akitafuta wa elfu kumi kumi anamaliza mahitaji ya mwezi mzima, make hatakua anaenda kila siku.
Hajui Kwanza hata jf
Wanabet ๐๐๐ mwanachuo akikamata boom anahonga lote anaishia kula mihogoSasa vijana wadogo wanaoweza kufanya maamuzi kama yako wanaweza wasifike 100.
Ngono imechukua 75% ya maisha ya kijana, kumshauri vinginevyo ni kujichosha.
Mimi usinisome kwa huu uzi ukavutiwa na maandishi yangu, ukweli ni kuwa mimi ni muumini wa โmwanamke atunzweโ but with conditions, kwanza awe ameolewa, na kama hajaolewa basi muhusika kipato chake kiwe kinaruhusu na mtunze bila kujiumiza, na ili hili litokee lina conditions zake, kwanza kila mtu ana type ya mtu wake, kila mtu ana mtuwe anayemmudu hivyo akili kichwani mtu wangu.
Katika yote, vijana wadogo waachwe jamani, lets say kijana yuko chuo au hana kazi au yuko shule ukimuomba kitu anatakiwa akapatie wapi??? Ujue mimi hucheka sana baadhi ya mambo yanayoendelea ulimwenguni kwa sasa!