nimemmiss sana

nimemmiss sana

mafiakisiwani

JF-Expert Member
Joined
Feb 19, 2011
Posts
833
Reaction score
620
Habri zenu wana JF,huyu mtu nimemmiss sana jamani amepigwa Ban kwa kulog off au imekuwaje?
Kwa jina anaitwa Washawasha,sijamuona toka mwaka jana au na yeye amekumbwa na mafuriko?
Mwenye taarifa zake au udhuru wowote unaomsumbua huyu mwenzetu namuomba anipatie tafadhali.

Miss You Mr. Washawasha,where you at?
 
Kweli kabisa, mie pia nimemmiss sana, sijui amepatwa na nini huyu mwenzetu manake alikuwa na mahudhurio mazuri jf mara ghafla kapotea..
 
Washawasha is missed by most of us! Where iz he? Nalog off
 
R.I.P Washawasha, just in case..!
 
hivi ile avator ya washawasha sijui kavaa boga au yule bundi? angekuwepo ningemuuliza. Mia
 
Nimem-miss hata mphamvu, sijui vocha ziliibiwa?
Au alifukuzwa mikocheni karudishwa Tandahimba?
 
Back
Top Bottom