Nimemkumbuka Meja Jenerali Mbuge, yuko wapi?

Mwamba alipanda vyeo kwa kasi ya 5g chini ya utawala wa hayati Magufuli.

Alikuwa anapendwa sana na hayati Magufuli, kwenye dili za ujenzi alishiriki sana na vijana wake wa JKT.

Sasa hivi yuko wapi?
Hivi ndiye huyu aliwatolea watu bastora baada mtoto wake kugombea Ubunge kupitia viti maalum UVCCM, zikamtoka milioni 600 lakini bint akaambulia zero votes?
 
Ukiona ulikuwa na Cheo Kikubwa Jeshini ( JWTZ ) na ghafla ukaondolewa na kupelekwa kuwa Mshauri wa Mgambo jua kuwa Kwanza Umedharauliwa na Pili hiyo ni Demotion ya Kukuumiza zaidi Kisaikolojia.

Hata classmate wangu Darasa la Masters SAUT Msimbazi Center ( School of Graduate Studies ) Dar es Salaam 2015, Luteni Kanali Erick Komba aliyekuwa Msemaji wa Jeshi ( JWTZ ) nae aliondolewa Makao na kupelekwa huko Mgambo kuwa Mshauri.

Haters LIKUD, Greatest Of All Time na CAPO DELGADO mpo? Kudadadeki......!!
huo ndio ukweli kutoka kuiongoza JKT ... hadi alipo sasa hivi ni 🥴🥴🥴.. ila ndio ivyo unakalia tu bench.. unabaki naa story.. kutokea hapo hakuna mahala ataenda zaidi ya kusubiri kustaafu.. ila pia kawasaidia vijana wengi...
 
Friji yangu kamwe huwa haigandishi na hapo bado sijamtaja Demu wake Mmoja mzuri, mnene mwenye Msambwanda ( ila alishaungua tokea mwaka 2005 ) na sasa Wanashea huyo Demu na Mbunge Mmoja Machachari mno na mwenye Matusi ambaye ameishi sana Kawe na sasa ana Nyumba zake za Kupanga Kawe moja ikiwa iko nyuma ya Msikiti maarufu wa kwa Londa Jirani na Soko Jipya la Kawe.

Niendelee Mkuu au kwa sasa niishie tu hapa?
Inamaana Tvs imewaka?
 
Nashukuru sana

binafsi kanifanyia Ihsan kubwa sana sana sana na Mola amlipe.

Sent from my SM-G9500 using JamiiForums mobile app
Namjua Afande kuwa Kiroho ni Mtu mzuri, mwema na amesaidia Wengi mno ila tatizo lake Kubwa ni Gambe na Mbunye na hivi Viwili ndivyo Vilimmaliza kutokana na Dossiers zake zilizoenda Magogoni na Chamwino na Kuondolewa.
 
Mara ya mwisho baada ya kutolewa kuwa RC alipewa nafasi ya ukurugenzi wa idara ya maafa nadhani ipo chini ya ofisi ya PM.
JamiiForums639695811.jpg
 
Friji yangu kamwe huwa haigandishi na hapo bado sijamtaja Demu wake Mmoja mzuri, mnene mwenye Msambwanda ( ila alishaungua tokea mwaka 2005 ) na sasa Wanashea huyo Demu na Mbunge Mmoja Machachari mno na mwenye Matusi ambaye ameishi sana Kawe na sasa ana Nyumba zake za Kupanga Kawe moja ikiwa iko nyuma ya Msikiti maarufu wa kwa Londa Jirani na Soko Jipya la Kawe.

Niendelee Mkuu au kwa sasa niishie tu hapa?
Ishia hapo hapo mkuu, imetosha mwishoe utanitajia na pisi yangu pale kwa Mwamposa
 
Ukiona ulikuwa na Cheo Kikubwa Jeshini ( JWTZ ) na ghafla ukaondolewa na kupelekwa kuwa Mshauri wa Mgambo jua kuwa Kwanza Umedharauliwa na Pili hiyo ni Demotion ya Kukuumiza zaidi Kisaikolojia.

Hata classmate wangu Darasa la Masters SAUT Msimbazi Center ( School of Graduate Studies ) Dar es Salaam 2015, Luteni Kanali Erick Komba aliyekuwa Msemaji wa Jeshi ( JWTZ ) nae aliondolewa Makao na kupelekwa huko Mgambo kuwa Mshauri.

Haters LIKUD, Greatest Of All Time na CAPO DELGADO mpo? Kudadadeki......!!
Ndio maana mnaambiwa msiwe mnatukana wazee mtawehuka.. Dar hujawahi kufika halafu eti msimbazi centre .. msimbazi centre ya n'gwanoko?
 
Ndio maana mnaambiwa msiwe mnatukana wazee mtawehuka.. Dar hujawahi kufika halafu eti msimbazi centre .. msimbazi centre ya n'gwanoko?
Na ndiyo maana nimekuita Makusudi ili niendelee Kukusanifu na Kukudharau na ulivyo Boya na Pimbi umekuja Kweli. Wewe Jamaa ni Mpumbavu na Mshamba sijawahi Kuona.
 
Back
Top Bottom