Gunther Schwagermann
JF-Expert Member
- Aug 25, 2016
- 7,355
- 17,695
RIP.
AmefarikiMwamba alipanda vyeo kwa kasi ya 5g chini ya utawala wa hayati Magufuli.
Alikuwa anapendwa sana na hayati Magufuli, kwenye dili za ujenzi alishiriki sana na vijana wake wa JKT.
Sasa hivi yuko wapi?