Nimemkumbuka Meja Jenerali Mbuge, yuko wapi?

Mwamba alipanda vyeo kwa kasi ya 5g chini ya utawala wa hayati Magufuli.

Alikuwa anapendwa sana na hayati Magufuli, kwenye dili za ujenzi alishiriki sana na vijana wake wa JKT.

Sasa hivi yuko wapi?
Nilikosa dola laki tano za deal baada ya mtu aliyetakiwa apokee huo mzigo tugawane,alifariki ghafla siku tatu kabla ya kuchukua Jackpot! Na deal likaishia hapo!!
 
Back
Top Bottom