Umefanya vyema, ila usijaribu kuja kuoa mtoto wa huyo uliyeambiwa ndio baba yako wa kibaiolojia, unaweza kukuta umeoa dada yako!
aka! na wewe yakuoa tena yametoka wapi humu. hahahahahahahaha
Umefanya vyema, ila usijaribu kuja kuoa mtoto wa huyo uliyeambiwa ndio baba yako wa kibaiolojia, unaweza kukuta umeoa dada yako!
Yani wanawake! Sasa mama yako kwanini aliropoka.
MPUUZI NAE.
Hapo kuna msululu wa history !! Kwanza kumkana mtu bila kusikia part ya hadithi ( maelezo ) yake ni kosa!!
Baba mlezi reaction zake zikoje baada ya kizazaa na mama ?
POLE sana, Lakini usijiwekee dhamira. !!
Kwanza habari ya uongo hii.! Au movie za kikorea.