MLA PANYA SWANGA
JF-Expert Member
- Jul 31, 2015
- 5,186
- 5,455
Aliwahi kujipiga risasi tajiri mmoja maarufu zambia ambaye wazazi wake ni watz wafipa walifika kwa pamoja wote kwake bila kujua na wao walijuana.Hakuna sababu ya kuharibu mahusiano yaliyodumu kati yake na babaye wa kufikia....
Pamoja na kufanya hivyo bado haiondoi uhalisia kuwa damu yake ni sehemu ya huyo mzee mwingine...
Waungwana huwa wanasema mwana hawezi mkana mzazi maana ni laana hiyo...
Hata hivyo hapa hatujaelezwa sababu ya kutoishi na babaye mzazi ni ipi?
Aliondoka dakika chache akapanda juu ya kasili lake akajifyatua maana zambia bunduki kama fimbo ndiyo maana huji kusikia hata tabia za kijecha zambia.