Nimemisi tu EMUEMUYU

kwenye bold hapo nitakuendea PM......yule kenge yule atakuja kuumbuka one time mwache tu!
Hehehehehe hebu angalia hii makitu yake....

https://www.jamiiforums.com/jukwaa-la-siasa/367096-zitto-aipaisha-jamiiforums-ulaya-3.html



 
Sio Mwanamke.........anajaribu kujifanya yeye ni mzimu!

mkuu si unawajua wanafiki??
mimi jana nilimwambia yule kenge mwingine kwamba kama Zitto angekuwa Mkristo aliyetokea kigoma, leo hii angeitwa Mchaga na wangemtukana sana tu despite ya nondo alizojibu huko ujerumani.

Hawa watu ni wavurugaji wakubwa sana, wanatakiwa kuogopwa....They are only living because its illegal to kill people.
 
But some people are not human beings......they have all the rights to be killed just like old malaria parasites.

Sasa basi kwa kuweka sawa mambo hizi makitu zinaishi kwakuwa tu AK47 haziuzwi magengeni.
 
Daaaa uliniacha sana mbali lol kumbe EMUEMUYU ndio MMU!

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Karibu sana mdogo wangu LD,

Haki ya nani hii dunia haiko fair kabisa, yaani inatenganisha watu kiasi hiki?

Nimemkumbuka Rose1980...mwambie arudi nyumbani bwana, kwani Pearl huyo kaja juzi juzi na kutuchungulia.. Na afrodenzi karudi ila mhh...anapatikana kwa manati...

Kuna dogo anaitwa The Finest....duuuuh amekuwa ghali sana huyo dogo...Nashindwa hata kumpigia mapande!!

Halafu kuna Fidel80, huyo mambo yake mswano!!

Ngoja wasije kusema kuwa Babu amebadilika na kuwa mmbeya!!

Babu DC!!
 
Last edited by a moderator:

umemsahau na bht and carmel
 
Last edited by a moderator:
usisahau kuniombea na mimi Pia JS


Wewe tena, mama wa kwanza....Seat yako ni kama ya Askofu...hata ukisafiri mwaka mzima...itabaki wazi milele!!

Halafu na huyo JS kapotelea/potezewa wapi jamani??

Hivi na @Woman of Substance anapatikana wapi??

Naamini Mungu yuko upande wote sote...kwani hatujamkera kiasi cha kutushushia Kosovo na kunyoa manyoya bila maji moto!!

Babu DC!!
 
Wee mtakatifu uliyezeeka.....
:boxing::boxing::boxing::A S-confused1::A S-confused1:
Location : Under a mango tree
Ya nini malumbano.....kule hayupo...na huku hayupo....shida ya nini kati yangu na wewe...
 
Sijambo brother Mbu, ni aje kaka angu, Krismasi wapi kaka, unikumbuke kwenye ufalme wako

....nipo sis, mungu ni mwema. Krismasi itafika kweli? kwa mujibu wa Mayan calender -dunia- ina 'eksipaya' Dec 21 😀
 
Last edited by a moderator:
Asprin
Hili lithread natamani nimwone PakaJimmy.

Nadhani atakuwa amekumbuka na kuelewa jambo flani hivi.

Hebu niitieni MwanajamiiOne, Askofu, dogo The Finest na GY fasta
Hakika hizo enzi za akina LD zilikuwa enzi za Mema ya Nchi!
Picha zifuatazo hapa chini zinanikumbusha safari ya maisha, takriban mi4 iliyopita...! I was a bit younger (and of course vibrant) those days!
Popote mlipo marafiki, Mungu awalinde sana!
(Nakala😡Mbu, Teamo, NGULI, Nyamayao, Lily Flower, Bigirita, GP, Masanilo, @Dark City Kaizer, @RR, TIMING @Klorokwin, fidel80 ngoshwe, Msanii, Pretty, WiseLady, The Finest, cheusimangala, Preta, MwanajamiiOne, Kigogo, next Level, Askofu, BelindaJacob, Pearl, zion daughter, X-PASTER, Balantanda Edson, Asprin, GY, FirstLady1 na jamaa wote wanaohusika na kundi hili lililomeza viroba vingi vya chumvi ki-JF!




 

Jamaniiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii..................dah
Mpo wapi rafikiiiiiiiiii, mpo wapiiiiiiiiii.......... klorokwini, na yule rafiki yako nina tena vile ashcool.....yeuwiiiiiiiii mpo wapiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii.....................
 
Last edited by a moderator:


aaaaah Shemeji PakaJimmy hivi kumbe uko nazo maktaba ..jamani umemsahau queen kami and ....
 
Last edited by a moderator:


Mkuu PJ nimekukubali. kweli aisee emuemuyu imetoka mbali. Nipo rafiki na asante kwa kunikumbuka....I wish you a Happy & Healthy Holiday Season!!! PakaJimmy
 
Reactions: Mbu

Am humbled, thx for the mention kaka dahh.... MMU hall of fame...i wish tungefanya get-together ya kufungia mwaka ila ndio hivyo tena,
Ati "Malaria haikubaliki!"

😀
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…