count on me, mzima wewe?
Heshima nikitu cha bure tafadhali nakuheshimu sana Bigirita wewe uliambiwa nivea yupoyupo??matani yenu kwenye darasa lenu lajioni ni hukohuko huyu ni mamsapu watu usione yupo darasani ukajua ni single lady!Na wewe nivea huwe unajiintroduzi siyo unakaa kaa kimya kama untegeshea kama machangu wastaarabu wanaofanya kwenye mabenk fulani ukiwakuta ddz,mafia longe,samakix2,bilmonte utajua hawafukuzii kumbe wapo mawindoni!Mimi mchezo huo sitaki!karibu sana EMUEMUYU kaka LD.
wapo mabinti kama nivea wapowapo kama wewe
LD hujambo?... 🙂habari zenu jamani, natumaini mpo salama..........
Hata mimi nipo Mungu anasaidia, sijafa jamani hadi leo, nimependelewa nipo.
Wazee shikamooni, wadogo hamjambo, masinia wenzangu mambo vipi?
Ahii mi bado nipo kitaa ndugu zangu, hakuna mtu aliyechoka Ubachela aje tufanye mipango tuishi?
Moderators wote naombeni msihamishe thread yangu, hiyo ndio thread niliyonayo.
Na nyie kitaa kimewachosha?
Halafu Lily Flower, nialike kirisimasi basi....hiyo ulosema
Na iwe kama ulivyosema.....Uko kwenye listi RR uwe unacheki PM nitatuma kadi kwa njia hiyo wanga sio wengi kule.