Hahahahahahaaaa....................Hapa naona Masai kaliwa na Ndama------------Wapi Teamo??Heshima nikitu cha bure tafadhali nakuheshimu sana Bigirita wewe uliambiwa nivea yupoyupo??matani yenu kwenye darasa lenu lajioni ni hukohuko huyu ni mamsapu watu usione yupo darasani ukajua ni single lady!Na wewe nivea huwe unajiintroduzi siyo unakaa kaa kimya kama untegeshea kama machangu wastaarabu wanaofanya kwenye mabenk fulani ukiwakuta ddz,mafia longe,samakix2,bilmonte utajua hawafukuzii kumbe wapo mawindoni!Mimi mchezo huo sitaki!
LD nafurahi jana nimekuona laivu, I was so happy kumwona mwanajamii forum..habari zenu jamani, natumaini mpo salama..........
Hata mimi nipo Mungu anasaidia, sijafa jamani hadi leo, nimependelewa nipo.
Wazee shikamooni, wadogo hamjambo, masinia wenzangu mambo vipi?
Ahii mi bado nipo kitaa ndugu zangu, hakuna mtu aliyechoka Ubachela aje tufanye mipango tuishi?
Moderators wote naombeni msihamishe thread yangu, hiyo ndio thread niliyonayo.