You know what i mean babe...........this way........dah Zanta ni aje wangu......me am coming
which way then
Usishtuke........hapa ni fitna tu kama mzee Akilimali wa Yanga.Mweeeeh
Mkuu naona unaambambaa nae taratibu vp na wewe kitaaa kimekuchosha?Kumbe unajua kusoma PM kwa haraka namna hiyo....Orait!
:smile::smile:
loading......................You know what i mean babe...........this way........
ahahahaha......mimi mzee wa Fitna tu.........mwache akuje pande hiyo.Mkuu naona unaambambaa nae taratibu vp na wewe kitaaa kimekuchosha?
You know what i mean babe...........this way........
.............the file has been corruptedloading......................
mweeeeeee KakaKiiza njo ujibu kabla sijarudi nyumbani mimi sumu itakuwa halali yangu ati lol Baba V weka tangazo lakuvunjika kwa capo ya nivea na KakaKiiza rasmi kaka yangu kipenzi uliyekula mahari Erickb52 njoooooooooooooooooooooo nishike mie nishike mie kakak yangu nimetendwaTualia kwanza.......usihamaki.
Unaweza kukosa vitu vizuri hivihivi.
Sasa tuanze na fitna........unajua huyo aliyekubuku ana demu mwenye mimba ya miezi sita? unajua yumo humu kila siku?
Shaurilo.
Hehehe sasa achana na paka mweusi , hapa habari ni mimi na wewe tu ! tumechoka na kitaaaohh...coming swiri.......humu kuna habari gani sasa Zanta, kuna anaitwa Paka Mweusi unamjua?
Paka Mweusi hausiki na kukaa kwetu kitaa lakini.....we si tushamaliza..........tukutane Kebb's jioni hii tuongee kwa kina.Hehehe sasa achana na paka mweusi , hapa habari ni mimi na wewe tu ! tumechoka na kitaaa
ahahahaha......mimi mzee wa Fitna tu.........mwache akuje pande hiyo.
Paka Mweusi hausiki na kukaa kwetu kitaa lakini.....we si tushamaliza..........tukutane Kebb's jioni hii tuongee kwa kina.
Huu utaratibu lazima ufanyiwe uchambuzi yakinifu........n
copy thatPaka Mweusi hausiki na kukaa kwetu kitaa lakini.....we si tushamaliza..........tukutane Kebb's jioni hii tuongee kwa kina.
Huu utaratibu lazima ufanyiwe uchambuzi yakinifu........n
habari zenu jamani, natumaini mpo salama..........
Hata mimi nipo Mungu anasaidia, sijafa jamani hadi leo, nimependelewa nipo.
Wazee shikamooni, wadogo hamjambo, masinia wenzangu mambo vipi?
Ahii mi bado nipo kitaa ndugu zangu, hakuna mtu aliyechoka Ubachela aje tufanye mipango tuishi?
Moderators wote naombeni msihamishe thread yangu, hiyo ndio thread niliyonayo.
count on me, mzima wewe?tarehe 28 :becky::becky:
tarehe 28 :becky::becky:
count on me, mzima wewe?