Nimemfungulia biashara lakini analeta dharau

Nimemfungulia biashara lakini analeta dharau

babavic, Ushauri wangu kwako kwanza pole
Nakushauri muondoe katika biashara ghafla usimwambie abaki kuwa mama wa nyumbani tu .....maaana kuna wanawake wakianza kupata vijihela ni vigumu kuficha hisia zao

Sent using Jamii Forums mobile app
 
MKALISHE home miezi 6, asipobadilika basi achana naye na biashara muachie.

Kwani ni dharau aina gani analeta? Anachepuka?
 
Tabia ya mtu haina uhusiano na mapito alopitia
Hilo na pinga mi nakumbuka wife wangu alikuwa single mother ...akakopa mkopo bank ww kwani alikuwa anakamatika


Muda wote akawa mtu wa mishe tu mpk na nyusi akaanza kunyoa .....mkopo ulipoisha akawa mpole na samahani kibao lkn sikutaka tena nikarudia usingle boy

Mwanamke akipata hela hawezi kunyenyekea

Sent using Jamii Forums mobile app
 
KANYEGELO,
Ni tabia ya mtu havina uhusiano na kuzaa kwake, unataka kuniambia wasokuwa na watoto ndo wamezoea mazingira ya kumiliki pesa eti kwamba wasibadilike?
 
Huwa hii kauli ya single mother inanichekesha sana. Yaani kuna Mtu anaamini kwa kuwa una mahusiano na msichana asiye na mtoto mambo yako yataenda vyema sana!!!! Stereotype

Mahusiano hayana formula maalum. Ukiwa na huo mtazamo hutakaa kwenye mahusiano yeyote kabisa kwa sababu mara nyingi unabebwa na mkumbo, sawa na kufika mahali fulani ukakuta stori za 'barabara hii huwa kuna ajali nyingi sana zinatokea kwa sababu za kishirikina', halafu ukiwa mwenyeji akija mgeni nawe unamwambia hivyohivyo bila tafakari ya 'uzembe wa dereva, ubovu wa barabara, uelewa mdogo wa matumizi ya alama za barabarani nk'!

Usioe 'single mother'
Usioe mwanamke msomi
Usioe mwanamke anayefanya kazi
Usioe kabila flani
Usioe mwanamke mnene
Usioe mwanamke mwembamba
Usioe mwanamke mzuri
Usioe mwanamke wa mjini
Usioe mwanamke asiye na bikra
Usioe mwanamke mjasiriamali

And list goes on...matokeo yake utaona hakuna mwanamke anayekufaa!! Kumbe wewe una mapungufu na mwenzako hana mapungufu ya msingi zaidi ya maumbile ya asili na au mapito ambayo kila mtu anapita!
Kunywa bia ntalipa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Asa mahusiano tu unamfungulia biashara, kama ulikuwa na nia naye si ungekuwa unampa vimatumizi kidogo kidogo adi apo utapomuoa ndo mtafute maisha kwa pamoja kama kumfungulia na duka ukijua anatafuta kwa ajili ya familia.....na je kama baby dady wake kamuona anapendeza saivi kajifanya kurudi......ila tatizo sio mtoto tatizo ni mtaji ulompa hamjaoana lazima akuone boya
Halafu ukute kweli bby dady anarudi wakati mwanzo alimzingua, na wanawake tulivyo vichaa anarudi kwa kiazi mviringo wake kumwacha mtu timamu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hellow guys
Nimekuwa na mahusiano na dada mmoja hivi.. ana mtoto na mimi pia nina mtoto, elimu yale darasa la saba ila nilijitolea kumfugulia biashara duka la vyombo na TigoPesa.. cha ajabu ameanza dharau ananijibu anavyojiskia.. sasa nawaza kuachana nae kabisa maana ua sipendi dharau kabisa maana hata mim nilikuwa namheshimu sana..

Biashara zake zipo kwa majina yangu najiuliza sijui nimnyanganye kila kitu niachane nae au nimwachie maana nimemtoa mbali sana mpaka sasa alipo... Nimejaribu kuongea nae lakini naona imekua ngumu kubadilika. Naomba ushauri please..

Sent using Jamii Forums mobile app
Funga biashara yako, mwache aendelee na dharau zake.

Hawa wa dizaini hii huwa washenzi sana, mimi mke kabisa darasa la saba ndo ananifanyia hivo.

Kuna mtu a amtia zaid yako tena kote kote
Cc. Zesh
 
Halafu ukute kweli bby dady anarudi wakati mwanzo alimzingua, na wanawake tulivyo vichaa anarudi kwa kiazi mviringo wake kumwacha mtu timamu

Sent using Jamii Forums mobile app
Yaani!! Anashindwa kujiuliza alikataliwa apo mwanzo saivi anacho anafuatwa anasahau fadhila za uyu
 
Mtu unamkuta kachaa unampenda na kumtunza kisha unamfungulia biashara ili naye apate pesa lakini unaonekana mbaya. Mnataka mahusiano gani sasa?Ya kugongana pasipo kusaidiana katika kiuchumi?
Asa mahusiano tu unamfungulia biashara, kama ulikuwa na nia naye si ungekuwa unampa vimatumizi kidogo kidogo adi apo utapomuoa ndo mtafute maisha kwa pamoja kama kumfungulia na duka ukijua anatafuta kwa ajili ya familia.....na je kama baby dady wake kamuona anapendeza saivi kajifanya kurudi......ila tatizo sio mtoto tatizo ni mtaji ulompa hamjaoana lazima akuone boya
 
Huwa hii kauli ya single mother inanichekesha sana. Yaani kuna Mtu anaamini kwa kuwa una mahusiano na msichana asiye na mtoto mambo yako yataenda vyema sana!!!! Stereotype

Mahusiano hayana formula maalum. Ukiwa na huo mtazamo hutakaa kwenye mahusiano yeyote kabisa kwa sababu mara nyingi unabebwa na mkumbo, sawa na kufika mahali fulani ukakuta stori za 'barabara hii huwa kuna ajali nyingi sana zinatokea kwa sababu za kishirikina', halafu ukiwa mwenyeji akija mgeni nawe unamwambia hivyohivyo bila tafakari ya 'uzembe wa dereva, ubovu wa barabara, uelewa mdogo wa matumizi ya alama za barabarani nk'!

Usioe 'single mother'
Usioe mwanamke msomi
Usioe mwanamke anayefanya kazi
Usioe kabila flani
Usioe mwanamke mnene
Usioe mwanamke mwembamba
Usioe mwanamke mzuri
Usioe mwanamke wa mjini
Usioe mwanamke asiye na bikra
Usioe mwanamke mjasiriamali

And list goes on...matokeo yake utaona hakuna mwanamke anayekufaa!! Kumbe wewe una mapungufu na mwenzako hana mapungufu ya msingi zaidi ya maumbile ya asili na au mapito ambayo kila mtu anapita!
Single mother umeongea kwa hasira sana.

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom