Chumchang Changchum
JF-Expert Member
- Nov 1, 2013
- 6,151
- 6,449
Moto mara moja...Single mother na single father wamekutana

Ofisi kafungua kwa jina lake, baadhi ya wanawake huji sahau unajua?Kama unataka kusepa...we sepa tu unamyang'anya vituvya Nini....muachie tu.kwani wakati mnapendana ulitoa kwa upendo.
Sent using Jamii Forums mobile app
Biashara fungua na mkeo/mumeo tu ukijua mnatafuta kwa lengo moja la kujenga familia yenu! Mpenzi, hawara, ni wa kugongana na kupeana pesa ya sabauni, mafuta na salon kidogoMtu unamkuta kachaa unampenda na kumtunza kisha unamfungulia biashara ili naye apate pesa lakini unaonekana mbaya. Mnataka mahusiano gani sasa?Ya kugongana pasipo kusaidiana katika kiuchumi?
Mimi ni mwanaume ninayejitambua. Sifuati mkumbo i am mature enough.
Hellow guys
Nimekuwa na mahusiano na dada mmoja hivi.. ana mtoto na mimi pia nina mtoto, elimu yale darasa la saba ila nilijitolea kumfugulia biashara duka la vyombo na TigoPesa.. cha ajabu ameanza dharau ananijibu anavyojiskia.. sasa nawaza kuachana nae kabisa maana ua sipendi dharau kabisa maana hata mim nilikuwa namheshimu sana..
Biashara zake zipo kwa majina yangu najiuliza sijui nimnyanganye kila kitu niachane nae au nimwachie maana nimemtoa mbali sana mpaka sasa alipo... Nimejaribu kuongea nae lakini naona imekua ngumu kubadilika. Naomba ushauri please..
Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna shida gani kwa SINGLE FATHER kutoka na SINGLE MOTHER. Haya ndo madhara ya kukimbilia kujibu ili uonekane tu umejibu. Unafikiria aliyeandika alikuwa mjinga kusema naye ana mtoto bila kuishi na mama yake?mna Moyo Sana mnao date na single mother Anna kitu hapo
Hellow guys
Nimekuwa na mahusiano na dada mmoja hivi.. ana mtoto na mimi pia nina mtoto, elimu yale darasa la saba ila nilijitolea kumfugulia biashara duka la vyombo na TigoPesa.. cha ajabu ameanza dharau ananijibu anavyojiskia.. sasa nawaza kuachana nae kabisa maana ua sipendi dharau kabisa maana hata mim nilikuwa namheshimu sana..
Biashara zake zipo kwa majina yangu najiuliza sijui nimnyanganye kila kitu niachane nae au nimwachie maana nimemtoa mbali sana mpaka sasa alipo... Nimejaribu kuongea nae lakini naona imekua ngumu kubadilika. Naomba ushauri please..
Sent using Jamii Forums mobile app
Natoka katika familia bora. Single mama siyo mtu, mkanye kaka yako, ndugu yako au rafiki yako juu ya kuwa na mahusiano ya kimapenzi na single mama. Take this seriously!Dah na unaeza ukakuta unalelewa na baba wa kufikia lakini unatukana wa mleta mada
Umekariri maisha, ni wangapi wanaolewa na wanazeeka kwene ndoa zao hao masingo mamaNatoka katika familia bora. Single mama siyo mtu, mkanye kaka yako, ndugu yako au rafiki yako juu ya kuwa na mahusiano ya kimapenzi na single mama. Take this seriously!
Hellow guys
Nimekuwa na mahusiano na dada mmoja hivi.. ana mtoto na mimi pia nina mtoto, elimu yale darasa la saba ila nilijitolea kumfugulia biashara duka la vyombo na TigoPesa.. cha ajabu ameanza dharau ananijibu anavyojiskia.. sasa nawaza kuachana nae kabisa maana ua sipendi dharau kabisa maana hata mim nilikuwa namheshimu sana..
Biashara zake zipo kwa majina yangu najiuliza sijui nimnyanganye kila kitu niachane nae au nimwachie maana nimemtoa mbali sana mpaka sasa alipo... Nimejaribu kuongea nae lakini naona imekua ngumu kubadilika. Naomba ushauri please..
Sent using Jamii Forums mobile app
heshimu mawazo yangu mkuu sio lazima uamini nacho aminiKuna shida gani kwa SINGLE FATHER kutoka na SINGLE MOTHER. Haya ndo madhara ya kukimbilia kujibu ili uonekane tu umejibu. Unafikiria aliyeandika alikuwa mjinga kusema naye ana mtoto bila kuishi na mama yake?
Bazazi
Sent using Jamii Forums mobile app
IdiotHellow guys
Nimekuwa na mahusiano na dada mmoja hivi.. ana mtoto na mimi pia nina mtoto, elimu yale darasa la saba ila nilijitolea kumfugulia biashara duka la vyombo na TigoPesa.. cha ajabu ameanza dharau ananijibu anavyojiskia.. sasa nawaza kuachana nae kabisa maana ua sipendi dharau kabisa maana hata mim nilikuwa namheshimu sana..
Biashara zake zipo kwa majina yangu najiuliza sijui nimnyanganye kila kitu niachane nae au nimwachie maana nimemtoa mbali sana mpaka sasa alipo... Nimejaribu kuongea nae lakini naona imekua ngumu kubadilika. Naomba ushauri please..
Sent using Jamii Forums mobile app
Tupe mrejesho. Miaka mitano sasa imepitaHellow guys