Nimemfungulia biashara lakini analeta dharau

Nimemfungulia biashara lakini analeta dharau

Huwa hii kauli ya single mother inanichekesha sana. Yaani kuna Mtu anaamini kwa kuwa una mahusiano na msichana asiye na mtoto mambo yako yataenda vyema sana!!!! Stereotype

Mahusiano hayana formula maalum. Ukiwa na huo mtazamo hutakaa kwenye mahusiano yeyote kabisa kwa sababu mara nyingi unabebwa na mkumbo, sawa na kufika mahali fulani ukakuta stori za 'barabara hii huwa kuna ajali nyingi sana zinatokea kwa sababu za kishirikina', halafu ukiwa mwenyeji akija mgeni nawe unamwambia hivyohivyo bila tafakari ya 'uzembe wa dereva, ubovu wa barabara, uelewa mdogo wa matumizi ya alama za barabarani nk'!

Usioe 'single mother'
Usioe mwanamke msomi
Usioe mwanamke anayefanya kazi
Usioe kabila flani
Usioe mwanamke mnene
Usioe mwanamke mwembamba
Usioe mwanamke mzuri
Usioe mwanamke wa mjini
Usioe mwanamke asiye na bikra
Usioe mwanamke mjasiriamali

And list goes on...matokeo yake utaona hakuna mwanamke anayekufaa!! Kumbe wewe una mapungufu na mwenzako hana mapungufu ya msingi zaidi ya maumbile ya asili na au mapito ambayo kila mtu anapita!
Umewapa majibu mkuu
 
Unajua Mazeee ,swala moja mnalokosea nihili


WANAWAKE WANAISHI KWA HISIA ...YAAN KAMA MOYONI HUMPI AMANI ,KAMWEEEE USITEGEMEE AKUPENDE.



Wewe kama umemfungulia mradi. Nahapo hapo unamfanyia matendo MABAYA, anaumia kila siku ...

Usitegemee akuheshimu kisa Kabiashara ako.....


Huwezi amin, akipatikana mchizi anayecheza namoyo wake , ...atakusahau wewe na Ka biashara kako.


Mwanamke anaweza toka kwao kwenye Maisha mazuri na mkwanja upo....akaenda kuishi na msela mmoja muuza genge .



UKIUTEKA MOYO WA MWANAMKE.. UMEMTEKA YEYE.
Wapi ambapo akuna misuguano kwenye mapenzi kila mahusiano yana misuguano na usitegeme ukiwa mwema basi mwanamke atakuwa mwema

Sent using Jamii Forums mobile app
 
babavic hujasema huyo mamavic ulimchagua kwa vigezo gani. Ila kwenye kuchagua mke au mume wa kuishi nae kuwa makini, kila mwanamke ana mume wake anayemmudu.
kama huyo mwanamke anakudharau hakufai. Usimnyang'anye chochote itakupelekea maugomvi wewe mwache nenda katafute maisha mengine.
Hakuna mahusiano yanayoweza kudumu kama mwanamke anashindwa kumheshimu mwanaume anayempenda.
 
Unajua Mazeee ,swala moja mnalokosea nihili


WANAWAKE WANAISHI KWA HISIA ...YAAN KAMA MOYONI HUMPI AMANI ,KAMWEEEE USITEGEMEE AKUPENDE.



Wewe kama umemfungulia mradi. Nahapo hapo unamfanyia matendo MABAYA, anaumia kila siku ...

Usitegemee akuheshimu kisa Kabiashara ako.....


Huwezi amin, akipatikana mchizi anayecheza namoyo wake , ...atakusahau wewe na Ka biashara kako.


Mwanamke anaweza toka kwao kwenye Maisha mazuri na mkwanja upo....akaenda kuishi na msela mmoja muuza genge .



UKIUTEKA MOYO WA MWANAMKE.. UMEMTEKA YEYE.
Tabia ya mtu tu na siyo kuwa ukinyenyekeza na kumpa mapenzi ndyo atakuwa wako masingle maza wanatabia ya kuamini kama mwanzo waliachana na yule ww nani ashindwe kukuacha

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hapo tatizo sio kwamba ni single mother, maana naona wengi wanakandia sana single mother, tatizo ni tabia yake mwenyew, kuna watu hata kama sio single mother ukifanikiwa kidogo tu dharau nyingi, Ndio maana kuna watu MUNGU hawapi maana anajua akiwapa ni taabu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Brooo tembea kama unauchungu na vyako vichukue acha kuwa na uruma kwa mtu asiyekuurumia dunia ni kulipana kwa mabaya tunayofanyiana Mungu pia huadhibu Shea maumivu na yule aliyekuumiza ili ajue kuwa alifanya ujinga wanawake wengi bado una nafasi ya kuchagua

Sent using Jamii Forums mobile app
 
babavic, Rafiki wa kike awe singo maza au sio, 'give her what you can afford to lose' never ever trust a woman.....pia sio vizuri mwana umme kulilia lilia mali alio wekeza kwa mwana mke wake

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wapi ambapo akuna misuguano kwenye mapenzi kila mahusiano yana misuguano na usitegeme ukiwa mwema basi mwanamke atakuwa mwema

Sent using Jamii Forums mobile app
Point ni yakwamba, Wapo wanaume, kwasababu amemkuta mwanamke ni Singo maza...+ kamfungulia Ka biashara...

Basi anamgeuza kua km mamtumwa !!!!



mwanamke umkute kazaa ...n.k .. Huwezi kumtenganisha na Hisia.

Kwa mantiki, usitegemee kisa unamsaidia basi ndo limfanye Atulie tu hata km unamaujinga.

Bado ataendelea kua natabia kama ambazo asokua Singo maza hana...

Namaanisha ivi.....kama utamchepukia na akujua...umetengeneza mazingira ya yeye pia kuchepuka.

Namaanisha ivi, kama ulivo kwa wasokua Singo maza, unapomzingua hupunguza mapenzi....ndivo ilivo pia kwa walio masingo mama.
 
Eti unategemea mwanamke akuheshim....kwa takwimu chache tu....wengi waliosaidia wanawake malipo hua n kinyume na matarajio...!!hapo chukua kila kilicho chako...na muonyeshe maisha yapoje bila wew....na ucrudi nyuma....maana cku hz kuna wanaume wana mioyo ya kike

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom