Hellow guys
Nimekuwa na mahusiano na dada mmoja hivi.. ana mtoto na mimi pia nina mtoto, elimu yale darasa la saba ila nilijitolea kumfugulia biashara duka la vyombo na TigoPesa.. cha ajabu ameanza dharau ananijibu anavyojiskia.. sasa nawaza kuachana nae kabisa maana ua sipendi dharau kabisa maana hata mim nilikuwa namheshimu sana..
Biashara zake zipo kwa majina yangu najiuliza sijui nimnyanganye kila kitu niachane nae au nimwachie maana nimemtoa mbali sana mpaka sasa alipo... Nimejaribu kuongea nae lakini naona imekua ngumu kubadilika. Naomba ushauri please..
Sent using Jamii Forums mobile app