Si busara kuandaa mtego wa namna hiyo kwa mwanaume rijali.Kwa lugha nyingine huyo mke amemuingiza kwenye majaribu mumewe ili amukamate!Ukisikia kubomoa chako kwa mikono yako mwenyewe ndio hivi.Alitaka kuhakikisha kuwa kile anachohisi ni kweli na amekuta ni kweli
Ndiyo na alivyompata huyo jamaa wa kumuoa nilifurahi sana ila alinisikitisha alivyokuja tena kumkataa!umemruhusu awe na mpenzi mwingine?
Ujumbe mubashara kabisa ila tatizo wewe ni rafiki yake Bashite!![emoji53][emoji53][emoji53]
muoe wewe sasaNdiyo na alivyompata huyo jamaa wa kumuoa nilifurahi sana ila alinisikitisha alivyokuja tena kumkataa!
Sio mahondaw huyoNdiyo na alivyompata huyo jamaa wa kumuoa nilifurahi sana ila alinisikitisha alivyokuja tena kumkataa!
Siwezi kumuoa kwa sababu mimi napata rahaa zaidi akiwa rafiki yangu wa kawaidamuoe wewe sasa
Umenigusa kakaHata wanaopima ukimwi kila baada ya miezi mitatu, ipo siku watakipata wanachokitafuta
Acha uchokozi mkuu,kwenye hiyo vita mimi sitakuwepo!![emoji23] [emoji23] [emoji23]Sio mahondaw huyo
basi sawa tuMimi napata rahaa zaidi akiwa rafiki yangu wa kawaida
Kwani wewe huna marafiki wa kawaida wa kiume??basi sawa tu
wengi sana pamoja na weweKwani wewe huna marafiki wa kawaida wa kiume??