Nimemfumania mume wangu live

Ndoa umeshaiharibu hiyo tegemea makubwa zaidi ya hayo, mwanaume hafumaniwi anaefumaniwa ni mwanamke coz ndie anaeolewa,
 
Acha ujinga ww unajitoa ufahamu sio?? Kisa tumekufuma huku MMU Mubashara

Ha ha haaaaa

Eti umenifuma oyaaaaaaaaa

Naona namba unayoisoma imekulolea haswa na bado. Hiloooo
 
Kama kweli we mjanja na umemfumania muache kaishi maisha yako, otherwise subiri makubwa mana mwanaume hafumaniwi,
 
Hakuna mwanaume asiyecheat hata km wapo ni 0.11%, bt mwanaume anayejitambua hata km anacheat hawezi kukuoneshea dharau hata mara moja, so achana kufatilia mumeo hata ukiachana nae huko unakoenda ubaweza ukakuta unaletewa hadi kitandani kwako.
Wapendwa hawachiti !
 
Aisee sio kwa comments hizi...kuna mambo yakujifunza hapa
 
Naunga mkonyo hoja!
 
duh noma
 
Umenifurahisha!
 

Bila shaka mumeo anajua kusoma na kuandika tu [emoji23]
 
Ulipokuwa unaweka mtego lengo lako lilikuwa nini?
 
Mwanaume hafumaniwi na mtoto wa kike,
Kufumania sio sifa,
Elekeza hizo nguvu kwenye shughuli za kiuchumi.

Ushauri wako ni mzuri, swali unaweza tibu malaria kwa kwa kutibu homa?jamani huna taaluma ya usbauri nasaha vyema kunyamaza kuliko kupotosha.mtu kachanganyikiwa kisaikolojia , mbapo hupelekea kuingiabkwenye msongo, utamwambia ahangaikie masuala ya kiuchumi ataweza?Busara mtibu kisaikolojia akili irudi afresh kupambana kutafuta
 
yaani wewe kichwa panzi kweli...hapo ushamgongea viza huyo raiki yako ya kumegwa na mumueo...bora usingemshrikisha ....wanakuzuga.. yaani hilo fumanizi mmelicheza wote watatu,rafiki yako alikuwa double agent....
afadhari ya shetani unaemjua kuliko,malaika usiyemfahamu.....
 
Naielewa vizuri sana saikololojia mkuu ,
Ninaifahamu vyema.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…