Nimemfumania mume wangu live

Nimemfumania mume wangu live

Ndoa umeshaiharibu hiyo tegemea makubwa zaidi ya hayo, mwanaume hafumaniwi anaefumaniwa ni mwanamke coz ndie anaeolewa,
 
Acha ujinga ww unajitoa ufahamu sio?? Kisa tumekufuma huku MMU Mubashara

Ha ha haaaaa

Eti umenifuma oyaaaaaaaaa

Naona namba unayoisoma imekulolea haswa na bado. Hiloooo
 
Kama kweli we mjanja na umemfumania muache kaishi maisha yako, otherwise subiri makubwa mana mwanaume hafumaniwi,
 
Hakuna mwanaume asiyecheat hata km wapo ni 0.11%, bt mwanaume anayejitambua hata km anacheat hawezi kukuoneshea dharau hata mara moja, so achana kufatilia mumeo hata ukiachana nae huko unakoenda ubaweza ukakuta unaletewa hadi kitandani kwako.
Wapendwa hawachiti !
 
wewe dada hujifahamu, miaka miwili, muda huo wote unafahamu, leo unamtega, nina uhakika ni rafiki yako ndiye aliyekuambia tumtege. na unafahamu ni kwa nini ? huyu rafiki yako amempa papuchi muda mrefu tu, sasa amenogewa anataka amiliki muhogo. ukijichanganya tu !! yeye muda mfupi ndie atakukaribisha kwenye chumba chako mwenyewe !!
Naunga mkonyo hoja!
 
Wanawake wapumbavu huwa wanawawekea mitego ya hivo waume zao.
Kuna jamaa yangu aliwekewa mtego huo na mkewe na akagundua kuwa kategewa.
Bahati mbaya na huyo rafiki alikuwa anamtamani huyo jamaa.
Siku ya tukio jamaa alipofika eneo la miadi akamwita huyo rafiki kwenye gari.
Akamnyang'anya simu na kusepa naye.
Mke akaishia kulia tu na manyoya.

Dada, usithubutu kumtega mumeo na rafiki yako.
duh noma
 
Hahahah kuna statement unazisoma and you can't stop wonder kwa nini wanaume wataendelea kututreat as if wametufanyia favor kutuoa. Unamkuta mke wa ndoa kajikatia tamaa huyo jamani mweeh. Na justification yao siku zote " ooh all men cheat una uhakika gani kama huyo mwingine hatocheat", sio kwa kujipa moyo huko khaa. I cant imagine what are we teachin our daughters, kwamba they should just stick with their abusive partners coz all men are the same? God forbid. Unasema tu my man cheats ila me siondoki, why lying to yaself? Abeg
Umenifurahisha!
 
Jamani nimemfumania mumewangu live tena na rafiki yangu amekua akimtongoza huu mwaka wa pili tukaamua kuweka mchongo leo tukamkamata yani asivyo na haya anajitetea huyu rafik yangu ndie kamtongoza huyu mwanaume najiuliza nifanye nini hata msamaha hawezi kuomba

Bila shaka mumeo anajua kusoma na kuandika tu
 
Jamani nimemfumania mumewangu live tena na rafiki yangu amekua akimtongoza huu mwaka wa pili tukaamua kuweka mchongo leo tukamkamata yani asivyo na haya anajitetea huyu rafik yangu ndie kamtongoza huyu mwanaume najiuliza nifanye nini hata msamaha hawezi kuomba
Ulipokuwa unaweka mtego lengo lako lilikuwa nini?
 
Mwanaume hafumaniwi na mtoto wa kike,
Kufumania sio sifa,
Elekeza hizo nguvu kwenye shughuli za kiuchumi.

Ushauri wako ni mzuri, swali unaweza tibu malaria kwa kwa kutibu homa?jamani huna taaluma ya usbauri nasaha vyema kunyamaza kuliko kupotosha.mtu kachanganyikiwa kisaikolojia , mbapo hupelekea kuingiabkwenye msongo, utamwambia ahangaikie masuala ya kiuchumi ataweza?Busara mtibu kisaikolojia akili irudi afresh kupambana kutafuta
 
yaani wewe kichwa panzi kweli...hapo ushamgongea viza huyo raiki yako ya kumegwa na mumueo...bora usingemshrikisha ....wanakuzuga.. yaani hilo fumanizi mmelicheza wote watatu,rafiki yako alikuwa double agent....
afadhari ya shetani unaemjua kuliko,malaika usiyemfahamu.....
 
Ushauri wako ni mzuri, swali unaweza tibu malaria kwa kwa kutibu homa?jamani huna taaluma ya usbauri nasaha vyema kunyamaza kuliko kupotosha.mtu kachanganyikiwa kisaikolojia , mbapo hupelekea kuingiabkwenye msongo, utamwambia ahangaikie masuala ya kiuchumi ataweza?Busara mtibu kisaikolojia akili irudi afresh kupambana kutafuta
Naielewa vizuri sana saikololojia mkuu ,
Ninaifahamu vyema.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom