Nimemfumania mume wangu live

wajua si vyema kufanya practical kisha ukapata majibu negative...ulitaka mwenyewe kujua kama mumeo anachepuka...kwa maoni yangu practical yako ilifua dafu...cha msingi sasa ujuwe cha kufanya ili kutatua hilo tatizo maana majibu unayo
 
Issue sio tamaa,haya mambo ni kumuumba tu Mungu. Kuna watu wanaonekana wema machoni mbele za watu ilihali ni, "Simba mwenda pole.........."
Hakuna binadamu mwenye immune ya kutocheat, unless ana matatizo; anyone can fall into it. Ila tatizo ni kwamba tumejiendekeza sana na kucheat ndo maana mtu hata akicheat hajisikii vibaya na wala hatojutia, tumeshakifanya kuwa ni kitu cha kawaida tu. Tusipokuwa na hofu ya Mungu, tukajifunza kuridhika na wenzi wetu na kutokuendekeza tamaa, tutazidi kuangamiza ndoa zetu. Kila siku unakutana na watu wa design tofauti tofauti na kila mtu ana kitu chake kizuri, utawatanani wote na kulala nao? Mbona tutakuwa kama wanyama wasio na utashi

Plus jamii yetu ni kama imehalalisha wanaume Kuchepuka, na muda wote tunawaona wao kama ni victims. Hata wanawake wanachepuka pia, but maybe sio at a rate kama ya wanaume au kwa kificho sana, coz mwanamke ukidakwa ni talaka tu, but mwanaume hata akidakwa, jamii nzima itamtetea, ooh mke kajichunguze utakuwa una mapungufu somewhere ndo maana mumeo katoka. Tena usishangae mke ndo atasema mume wangu alitegwa na msamaha ataomba yeye maana kupata mume sio kazi rahisi, ataanzisha vita na mchepuko eishhhh[emoji35] [emoji35] . Whoever swallowed our senses, should vomit them now IJN khaa. Cheating is a state of mind
 
Leo umeacha unazi wako wa kumtetea yule kilaza aliye kwepa mkuki tuna jiandaa kumpeleka kortin
 
[emoji122] [emoji122] [emoji122] Mdada nimekupenda bure! Watu hatuna hofu ya Mungu wala hatujali hisia za wenza wetu.
 
walishatukanya saana kupanga kumfumania mtu ambae huwezi kumwacha
 
Leo umeacha unazi wako wa kumtetea yule kilaza aliye kwepa mkuki tuna jiandaa kumpeleka kortin

Unapovuka nini, mimi sideal na vilaza. Kama wewe kilaza pita hukoooooooo mbaki kabisa. Mtanyooka tu
 
Kuna kitu amekikosa kwako ila rafiki yako anacho. Hayo ndiyo matokeo ya wanawake wasioweza kulinda himaya zao. Pole sana kwa kusaidiwa kile ulichoshindwa kukifanya.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…