Nimemfumania dada yangu kwenye kitanda changu

Nimemfumania dada yangu kwenye kitanda changu

Mkuu hukupata nafasi ya kuchukua kapicha utuwekee hapa na Sisi tuone ilivyokuwa
 
Kwanza unatudhaklilisha unakaaje nyumban wakati una kazi
 
ukute jama ameshamla na demu wako dah
 
Kuna mawili hapo, aidha unamuonea wivu jirani yako au unamla dada yako na wewe ndo maana umepaniki
 
Jirani umeyaleta mpaka huku si yaliisha? Ila dadaako mtamu sana simuachi.
 
Kwa hali inadhihirisha wazi dada yako hakuheshimu. Either we mwenyewe ndo umekua goigoi kukaribisha mazingira kama hayo. Any way. Fanya maamuzi utakayoona ni sahihi pasipo kudhuru mtu
 
Mefurahi tuu kwamba hutaki ushauri, ukimaliza kufanya ulichokusudia usisite kutuletea taarifa tena.
 
Aise kwani ni form one huyo dada hadi ukaazime shoka?
 
Utamfumaniaje dada yako? Hayo ni matumuzi mabaya ya maneno ya kiswahili, Kufumania ni pale unapomkuta mtu wa jinsi tofauti na wewe mlio kwenye mahusiano ya kimapenzi akiwa ktk tendo la mapenzi au akiwa ktk harakati ya kutaka kufanya tendo la ngono na mtu mwingine zaidi yako. Kwa hiyo kwa tukio lako ni simply umemkuta dada yako akifanya ngono chumbani au nyumbani kwako full stop.
 
Sijaelewa hapo. Ina maana huwa mnashare kitanda/chumba na dada yako. Au hilo ni gheto?
 
Naomba nisipoteze muda, direct to the point.

Leo asubuhi mida ya saa 12 hivi nimetoka kazini maana nilikuwa night shift. Ile nafungua mlango nashangaa uko wazi, nikaamua kuusukuma ili niingie.

Hamadiiii namkuta dada yangu kama alivyozaliwa akiwa na mwanaume ambaye ni jirani yetu.

Nimeshindwa cha kufanya aisee nimewafungia ndani nikaenda kuazima shoka kwa jirani nataka nikate mguu mmoja aisee. Sitaki ushauri.
Hizi story za watoto wa wa sekondari asante kwa kutuletea ila shoka unataka kumkata nani? Na je kwani umefumania?
 
Sema umekuta dada yako ameazima kitanda sio umemfumania. Umfumanie kwani mkeo huyo?

Hapo ulipaswa umpe shemeji yako 20,000 akaendelee kumpa dadako mbegu gesti. Nje ya hapo ni kukosa shukrani kwa watu wanaompa dadako raha
We jina lako mwana mtoka pabaya naomba nikuongezee uitwe mwana mtoka pabaya bin kivuruge
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom