Nimemfumania dada yangu kwenye kitanda changu

Nimemfumania dada yangu kwenye kitanda changu

Sasa hutaki mashemeji? Au ndo unamuonea wivu dada ako?......Mhudumie ww sasa.
 
Acha panic ya haraka, unataka kuwa na shemeji mlemavu?!
 
dada yako unamfumaniaje?? hiyo ni kumkuta anakula raha zake tu ndo ujifunze kubisha hodi
 
Mi nikajua umemfumania na mumeo kumbe jirani yenu,em mwache mwenzako uko
 
hata ww ulishamkula mdada wa watu kwenye kitanda cha kakake,ingekuwa mke ningekuunga mguu but kwa dada ckuungi mkono labda kama na ww unamkunaga dadako
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom