Nimemfumania dada yangu kwenye kitanda changu

Nimemfumania dada yangu kwenye kitanda changu

Naomba nisipoteze muda, direct to the point.

Leo asubuhi mida ya saa 12 hivi nimetoka kazini maana nilikuwa night shift. Ile nafungua mlango nashangaa uko wazi, nikaamua kuusukuma ili niingie.

Hamadiiii namkuta dada yangu kama alivyozaliwa akiwa na mwanaume ambaye ni jirani yetu.

Nimeshindwa cha kufanya aisee nimewafungia ndani nikaenda kuazima shoka kwa jirani nataka nikate mguu mmoja aisee. Sitaki ushauri.
Toka ulipowafumania asubuh mpka muda unatupia thread bado wapo ndani mkuu.

Inatakiwa ukafungwe
 
Acha ujinga ,kwan huyo Dada bado ni mwanafunz?
 
wadada kama unamkuta kaka yako anabandua Jirani kwenye kitanda kama mshkaji hapo utafanya nini au utajisikiaje?
 
Unataka nani amgegede dada yako? Anyway kosa hapo labda ni kwasababu anagegedwa kwenye kitanda chako.
 
Naomba nisipoteze muda, direct to the point.

Leo asubuhi mida ya saa 12 hivi nimetoka kazini maana nilikuwa night shift. Ile nafungua mlango nashangaa uko wazi, nikaamua kuusukuma ili niingie.

Hamadiiii namkuta dada yangu kama alivyozaliwa akiwa na mwanaume ambaye ni jirani yetu.

Nimeshindwa cha kufanya aisee nimewafungia ndani nikaenda kuazima shoka kwa jirani nataka nikate mguu mmoja aisee. Sitaki ushauri

mkuu hayo maneno niliyoyabold nimecheka mpaka baaasiiii.....
daaahh...JF idumu daim MILELE....
 
"Nimeshindwa cha kufanya aisee nmewafungia ndani nikaenda kuazima shoka kwa jirani nataka nikate mguu mmoja aisee.."

Watu wengine ni wa ajabu sana sasa kwa nini umempa muda wa ziada agonge kimoja tena
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom