Nimemfuma anapika chakula akiwa uchi jikoni

Nimemfuma anapika chakula akiwa uchi jikoni

Naombeni ushauri Wa haraka jamani.nimemkuta mke wangu anapika uchi,kama alivyozaliwa.Sijui kwa sababu gani na kwanini afanye hivyo.

mkuu we nae lofa kweli,sasa unamkuta mtu yuko tayari naomna hiyo halafu unakuja kupiga kelele jf,si unamlamba kamoja ili kumchangamsha ashike mwiko vizuri?we nae umeniboa bana
 
Naombeni ushauri Wa haraka jamani.nimemkuta mke wangu anapika uchi,kama alivyozaliwa.Sijui kwa sababu gani na kwanini afanye hivyo.

Kwani jikon kuna masharti ya lazima upike na nguo.unachotaka c chakula kiive shida yako nini hapo
 
Kama mama Shida Mtaani kwetu vitumbua vyake vitamu ajabu lakini havai chupi wakati wa kupika

Boss hii username yako kama ya ndugu yang mmoja hivii alikua anawania udiwan....kata ya makuburi
 
Atakuwa anakuwekea limbwata ndo maana alikuwa ananuizia
 
Mwenye majibu yote ni mkeo huna haja ya kumfikiria vibaya.
 
kwani kuna watoto??wewe na mkeo mmoja akikaa uchi mbele ya mwenzio shida iko wapi?? pengine anahamu badala ungempa kimoja hapo jikoni ukamuacha na kajibusu uone kama hajakifunga khanga akaanza kupika akiwa mwepesiii

unakimbilia huku muwe mnaongea na nabu zenu ndipo muoe mtajua mengi alaaa
 
Na tunaodeki ndani na kanga moja na kupika na kanga moja??comeon kaa umuulize vizur
 
Na tunaodeki ndani na kanga moja na kupika na kanga moja??

images

Mbona sioni?​
 
Naombeni ushauri Wa haraka jamani.nimemkuta mke wangu anapika uchi,kama alivyozaliwa.Sijui kwa sababu gani na kwanini afanye hivyo.

mkuu usimwache huyo.....hata mimi huwa na-enjoy sana mupenzi akipika uchi...so sexy!!!
 
Kwani anavyokuhudumia kitandani anakuwaga na nguo? Kaamua na kukupikia akupikie uchi
 
Back
Top Bottom