ungemvizia akiwa amelalaToka juz namwomba chakula ya ndoa ananinyima kwa madai anaumwa,lakini kazi nyingine anafanya, nimeona ananifanyia kusudi.
hahahahah nimecheka hii leo sana sasa wewe Baba Father of All unamkasirikia mwanao anayetaka ushauri wa mke wake aliyemfukuza ndani kwa sababu hapewe unyuma? ungelimuuliza kwa sababu gani hapewi unyumba ili tupate jibu na faida ndani yake? Wewe unaanza kumtolea ukali sas weweni kweli unafaa kuitwa baba?You are sooo stupid wewe kijwana. Yaani unamufukuza mami sapu wako halafu unaanza kututangazia ili tuje tumhudumie siyo? Ninsingekuwa baba yako ningekutembelea ili nikupe kibano ujue kuwa siri za chumbani hazipaswi kutoka kufika hata sebuleni achia mbali JF
Duuuuh sio wewe uliye kuwa una muacha mkeo na kulala bar?
Sorry kama nime wafananisha!
Hivi thamani ya mke unaijua?
Kumfukuza mke ni sifa?
Hivi swala la unyumba ni lazima au makubaliano?
Hebu nipm namba yake fasta asijeliwa na mbu bureeeToka juz namwomba chakula ya ndoa ananinyima kwa madai anaumwa,lakini kazi nyingine anafanya, nimeona ananifanyia kusudi.
Sshhhhhiii!mkuu taratibu huna haja ya kumshtua huyuNiliposoma tu nikagundua kuwa akili yako haijatulia kabisa. Mkeo umewapa wenzio wanajimegea. Ukikua utaacha.
Toka juz namwomba chakula ya ndoa ananinyima kwa madai anaumwa,lakini kazi nyingine anafanya, nimeona ananifanyia kusudi.