mtani wangu kuna kanikera mtaani kwangu nikupitie wapi tukampe makavu!aahhahahhahahhahahahahaah mimi hapa tu pa za uso ndo unanipaga raha!Hahaha...mwanaume mzima una hata haya, yaani unakuja hapa na misifa ya kijinga ya kijinga.
Si ajabu umenyimwa unyumba kwa kuwa performance yako ni buree kabisa, lione kwanza kiuno kigumu kama gia ya Leyland DAF.
Yaani ushanikera hebu sogea huko ptuuuuu!!!
Toka juz namwomba chakula ya ndoa ananinyima kwa madai anaumwa,lakini kazi nyingine anafanya, nimeona ananifanyia kusudi.
Kumbe ni wewe? Nimempokea mwanamke usiku bila shaka ndo huyo wakwako
Kumbe kuna wengine wanaoa kwa ajili ya kusex tu :A S thumbs_down:
Toka juz namwomba chakula ya ndoa ananinyima kwa madai anaumwa,lakini kazi nyingine anafanya, nimeona ananifanyia kusudi.
Hahaha...mwanaume mzima una hata haya, yaani unakuja hapa na misifa ya kijinga ya kijinga.
Si ajabu umenyimwa unyumba kwa kuwa performance yako ni buree kabisa, lione kwanza kiuno kigumu kama gia ya Leyland DAF.
Yaani ushanikera hebu sogea huko ptuuuuu!!!
hahahaha watu8 umenichekesha.
watu wa namna hii wanaitwa mabwege mtozeni.
ngoja wenye kujua thamani ya mwanamke wamsaidie ndo atakoma kujishau hapa mxiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii
Hakuna mtu anaye owa bila kusex, lakini kuna kitu lazima ujuwe sio kila ndoa ni kwa sababu ya kusex 24 hrs :biggrin1:Ni moja kati ya vipaumbele vya ndoa.
Vingine hivi kupikiwa, kufuliwa, kutandikiwa n.k
Wewe hii ID umeitoa wapi?