Nimemfukuza mke wangu sa 8 usiku

Nimemfukuza mke wangu sa 8 usiku

kwani we si ndo ulikuwa unamnyima ilikuwaje tena ukadai,we ulivokuwa unakimbilia bar?

Achana nae unajua mijitu mingine mipuuzi sana.Ebu fikiri unakunywa pombe mpaka saa sita usiku ndio unakumbuka kurudi nyumbani,mwenzio ameshalala maana yawezekana pia amechoka na shughuri za nyumbani ,ww unataka kudinya ataweza wapi.Mapenzi ni starehe ukiwa na hamu na mwenzio andaa mazingira ,rudi mapema nyumbani uone kama hujapewa vyote!
 
ficha upumbavu wako usifiche hekima yako BY Invisible
 
Last edited by a moderator:
Toka juz namwomba chakula ya ndoa ananinyima kwa madai anaumwa,lakini kazi nyingine anafanya, nimeona ananifanyia kusudi.

Kumfukuza ndo kutasababisha akupe chakula cha usiku? Mi ngoja nikushauri best, we ungejinyonga tu ndo tungejua kweli ulikuwa na hamu na icho chakula
 
Safi sana ila ungefanya pakuche kwanza kwa sababu ya usalama wake
 
Nakushangaa sana kuona sifa kwa kumfukuza mkeo usiku wa manane na unajisifu. Siku tatu tu zimekutoa roho je angefanyiwa operation naona ungemwambia kuwa unaoa mwingine.

Mwanaume gani ambaye huna uvumilivu hata kidogo. Nyie ndiyo ambao mke akienda likizo kwao wewe unaanza libeneke na house girl.

Na wewe ukifanyiwa operation ya mshipa atafute mme mwingine? maana lazima miezi sita ipite ndiyo uanze mchezo.

Upo hapo?
 
Kichwa chako unatumia kufuga nywele tu weye!
 
Kuna raia anaitwa sweetylady humu jf vp unamfahamu? Maana amekuwa kimya halafu wewe ndio nakuona

mie ni sweetdada yeye ni sweetlady jamani kuna utofauti hapo.namuonaga humuhumu MMU ndio.pole kwa kuchanganyikiwa ee
 
mtani wangu kuna kanikera mtaani kwangu nikupitie wapi tukampe makavu!aahhahahhahahhahahahahaah mimi hapa tu pa za uso ndo unanipaga raha!
chezeya mnyambara akikasirika wewe!

hahaha yaani ni sifa za kijinga...anakuja hapa jukwaani "eti nimemfukuza mke wangu usiku wa manane"...utadhani toto lililojiharibia kwenye pampazi
 
huyu ndio yule ***** aliyemnyima mkewe chakula cha usiku kama adhabu hadi mke 'alipomuomba msamaha'. wanawake mna kazi!! haya subiri atarudi tena 'kukuomba msamaha'

ndo huyu huyu Blaine huyu huyu yani anakera kama chupi ya VIP!
 
Last edited by a moderator:
hahaha yaani ni sifa za kijinga...yaani anakuja hapa jukaani "eti nimemfukuza mke wangu usiku wa manane"...utadhani toto lililojiharibia kwenye pampazi
yani hili dubwana mi lilinikera toka kipindi kile!yani zombie si zombie mummy si mummy,akili zake zitakuwa zinatokea makwapani
 
Amekwambia anaumwaa sio kingine wewe unaonesha ni jinsi gani usivyo na huruma na mkeo.loh!
 
narudia tena kama huyu naye ni mwanaume BAKHITA nitaftieni istilahi ya kumwita mume wangu!
 
Hasira zako zikiisha utamtafuta na mtarudi kuishi kama kawaida,ni shetani tu kakupitia na ndio maana umeweza kuandika mada hii kwa ghadhabu kubwa,pata ushauri kiasi hapa mpaka hapo hasira zako zitakapoisha na kuona kuwa kunyimwa chakula cha usiku adhabu yake si kumfukuza mkeo.
Pole sana.
 
Watu nane hebu kuja kipande hii uwe mkalimani kati yangu na Mpita Njia nahisi lugha gongana hapa
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom