Nimemfukuza mke wangu sa 8 usiku

Nimemfukuza mke wangu sa 8 usiku

Huyu jamaa ana matatizo sana mke wake anamwambia anaumwa badala ya kumwambia ampelele hospitali ili apime afya yake yeye anamfukuza usiku wa manane. HII NI KINYUME NA HAKI ZA BINADAMU .hiv ingekuwa wewe umefukuzwa muda huo ungejisikiaje?
 
hii story siiamini.kweli unyimwe umfukuze mwenzio usiku wa manane.ulikuwa umelewa?kama ni kweli,pengine humridhishi,anaona ni kero,usimuamshe nyege ambapo kumfikisha humfikishi.au kuna zaidi ya hili,hiyo imekuwa kama sababu tu.badilikeni wanaume.mke sio mtumwa jamani
 
kisukari my dear!huyu mwanaume ndo yuleeeee alituma post kuwa mke wake anagombana na dada zake na mama yake ameamua kumnyima unyumba
kwa hiyo wala asikusumbue kichwa!
 
Last edited by a moderator:
  • Thanks
Reactions: BAK
Mkuki kwa nguruwe eeh! kwa binadamu mchungu!!! Si ndio wewe ambaye mkeo alikuomba umfanye ukakataa na chakula chake kususa kwa sababu ya ugomvi kati ya mke na mama yako!? Hadi ikafikia mkeo akuombe umtafutie mwanaume ili amtimizie raha zake za kimwili. Wanaume kama wewe ni aibu kubwa kwa wanaume wengine ambao wanajitahidi usiku na mchana kutatua matatizo mbali mbali ndani ya familia zao ili kuleta amani na upendo ndani ya nyumba. Bora tu aamue kuondoka zake moja kwa moja badala ya kuishi na mwanaume mwenye tabia za ajabu ajabu kama wewe.

Toka juz namwomba chakula ya ndoa ananinyima kwa madai anaumwa,lakini kazi nyingine anafanya, nimeona ananifanyia kusudi.
 
kwani we si ndo ulikuwa unamnyima ilikuwaje tena ukadai,we ulivokuwa unakimbilia bar?
nahisi harufu ya majibizano ya mme na mke hapa, inaonekana nyie ndo wenyewe mmekuja mrushiane vidonge hapa jf...mkae chini muyamalize tu jamani, ndoa ndivo zilivyo.
 
Mkuki kwa nguruwe eeh! kwa binadamu mchungu!!! Si ndio wewe ambaye mkeo alikuomba umfanye ukakataa na chakula chake kususa kwa sababu ya ugomvi kati ya mke na mama yako!? Hadi ikafikia mkeo akuombe umtafutie mwanaume ili amtimizie raha zake za kimwili. Wanaume kama wewe ni aibu kubwa kwa wanaume wengine ambao wanajitahidi usiku na mchana kutatua matatizo mbali mbali ndani ya familia zao ili kuleta amani na upendo ndani ya nyumba. Bora tu aamue kuondoka zake moja kwa moja badala ya kuishi na mwanaume mwenye tabia za ajabiu ajabu kama wewe.

Hapo kwenye red: Bora aondoke aende wapi jamani??? Yaani hapo wanapoishi si MALI YAO WOTE WAWILI??? Yaani mama wa watu akaanze kutafuta pa kuishi wakati wanalo Bungalow lao? Mie naona
1. Huyo mwanaume hana haki ya kumfukuza - kwani hapo ni nyumbani kwa mke wake kama palivyo pake
2. Huyo mwanamke hatakiwi kuondoka hapo - instead HUYO MWANAUME NDIO AONDOKE ZAKE akapange chumba au atafute nyumba somewhere elese
3, Kama siku zote alikuwa anapewa hicho chakula cha usiku - ajipeleleze kwanini amenyimwa??
my take - labda haogi, labda ana nyumba ndogo na mkewe kagundua ; labda ameanza tabia za ulevi;
lazima atakuwa amemuudhi mama wa watu.

KUMFUKUZA NI MFUMO DUME - USHINDWE NA ULEGEE :nimekataa
 
Omba mungu mke wako si kama huyu hapa MKE MKOROFI.jpg
 
Ungesoma kwanza bandiko la huyu jamaa ili kujua channzo cha yeye kumkatalia mkewe kumnanihii hata baada ya kummuomba kwamba anajisikia hamu sana. Mama anaweza kujiondokea na kuanza taratibi za kuhakikisha haondoki mikono mitupu na hivyo kuachana na karaha za kufukuzwa usiku wa manane. Nchi yenyewe ilivyojaa ujambazi saa nane usiku anaondoka anaenda wapi? Wahuni wanaweza kabisa kumkamata na kuanza kumdhalilisha na hata kumuua, hili likitokea hakuna wa kulaumiwa huyu jamaa ambaye ana maamuzi ya ajabu ajabu.

Hapo kwenye red: Bora aondoke aende wapi jamani??? Yaani hapo wanapoishi si MALI YAO WOTE WAWILI??? Yaani mama wa watu akaanze kutafuta pa kuishi wakati wanalo Bungalow lao? Mie naona
1. Huyo mwanaume hana haki ya kumfukuza - kwani hapo ni nyumbani kwa mke wake kama palivyo pake
2. Huyo mwanamke hatakiwi kuondoka hapo - instead HUYO MWANAUME NDIO AONDOKE ZAKE akapange chumba au atafute nyumba somewhere elese
3, Kama siku zote alikuwa anapewa hicho chakula cha usiku - ajipeleleze kwanini amenyimwa??
my take - labda haogi, labda ana nyumba ndogo na mkewe kagundua ; labda ameanza tabia za ulevi;
lazima atakuwa amemuudhi mama wa watu.

KUMFUKUZA NI MFUMO DUME - USHINDWE NA ULEGEE :nimekataa
 
Toka juz namwomba chakula ya ndoa ananinyima kwa madai anaumwa,lakini kazi nyingine anafanya, nimeona ananifanyia kusudi.
unajua kuwa ulivyomfukuza alikimbilia kwa mwanaume mwingine? kuna siku nilikuwa kahama, kwenye lodge, basi saa saba usiku mdada mmoja mzuri akawa anagonga geti la ile lodge, mlinzi wa pale alikuwa rafiki yangu kwasababu nilikaa pale kwenye lodge karibia miezi miwili na mara nyingi huwa nafikia pale, alipoenda kufungua yule binti akaingia, akamwambia amefukuzwa na mumewe, anaomba alale pale.....yule mlinzi siku hiyo alikuwa ameachia lodge yote receptionist hakulala pale, akamchukua yule binti akamtandikia pale ambapo huwa analala receptionist, akamgonga hadi asubuhi binti kwa raha zake. siku hiyo hata doria mlinzi hakufanya yaani...asubuhi basi tulicheka kweli manake ilibidi nimwulize kulikoni yule binti alikuwa akiomba msaada.....mbona nilisikia miguno hapo kwenye receptionist room, akanichekesha kusema kuwa jana usiku hata wezi wangekuja wangefanya watakavyo kwasababu kazi ilikuwa moja tu, ulizi badae.
 
nahisi harufu ya majibizano ya mme na mke hapa, inaonekana nyie ndo wenyewe mmekuja mrushiane vidonge hapa jf...mkae chini muyamalize tu jamani, ndoa ndivo zilivyo.

ahahhahahhahhaah Ubungoubungo huyu kima awe na mke wa aina yangu si angedhikri uchi!
ananikera tu kwa hizi post zake humu kuna siku alipost kuwa kamnyima mkewe unyumba kisa huyo mke anagombana na dada wa huyo kima mwekundu!adhabu yake kamnyima unyumba kisha kaenda kukaa bar na kususa kula chakula cha mkewe!
ndo mana nimempa makavu!
 
Last edited by a moderator:
Tukusifie, tukuhurumie au tukuone huna maana?
 
Mkuki kwa nguruwe eeh! kwa binadamu mchungu!!! Si ndio wewe ambaye mkeo alikuomba umfanye ukakataa na chakula chake kususa kwa sababu ya ugomvi kati ya mke na mama yako!? Hadi ikafikia mkeo akuombe umtafutie mwanaume ili amtimizie raha zake za kimwili. Wanaume kama wewe ni aibu kubwa kwa wanaume wengine ambao wanajitahidi usiku na mchana kutatua matatizo mbali mbali ndani ya familia zao ili kuleta amani na upendo ndani ya nyumba. Bora tu aamue kuondoka zake moja kwa moja badala ya kuishi na mwanaume mwenye tabia za ajabu ajabu kama wewe.
umeona enh BAK huyu Mkumbavana sio kiumbe wa kufaa kuitwa mwanaume!
 
Last edited by a moderator:
  • Thanks
Reactions: BAK
Kuna kidume kinamchosha mchana

Kumbe mko wengi,hivi mwanamke hapaswi kuumwa? Au kosa lake ni kujikaza ahakikishe mumewe anakuta msosi mezani na anavaa nguo safi? Badala ya kumpeleka hosp anamfukuza! Hopeless.
 
we mjinga kabisa kwan ujawai kupiga nyeto? acha ufala muache kando piga nyeto ye mwenyewe atakutafta
 
wewe ni mjinga kabisa, siku tatu iwe ndo kisa cha kumfukuza mkeo?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom