MwanajamiiOne
Platinum Member
- Jul 24, 2008
- 10,470
- 6,586
Mimi sielewi siku hizi tatizo liko kwa waoaji na waolewaji au taasis nzima ya ndoa. Zamani suala kama hili mwoaji alitakiwa kufuata taratibu zilizowekwa za kureport sijui kwa wazee sijui mshenga kisha muhusika akaitwa akajibu shtaka la kumnyima mumewe 'maji, chakula sijui nini cha usiku' kabla maamuzi hayajafanyika