McDonaldJr
JF-Expert Member
- Sep 25, 2013
- 6,386
- 7,562
Hamu ya vitu vizito vyenye ncha kali inakusumbua mkuu,waachie wenyewe aya mambo.
Hii nchi wageni wanajiachia sana wakati wazawa tunasota sana!hivi huu utumwa wa fikra utaisha lini?
Mbona huyo mjeda yupo Peku au ruksa.?Pichani hapa chini, upande wa kushoto ni wale askari walioruka na parachute siku ya sherehe za muungano pale zanziba.
Na hao wa kushoto ni wanajeshi 'wazungu' ambao waliwawezesha hao wabongo kuruka. katikati ni msanii Mrisho Mpoto.
![]()
Dogo usijitakie shida ..... system ya nchi unaijua wewe au hii avatar ndo inakudanganya kwaba huwezi patikana?? ya usalama waachie usalama wenyewe wanajua kwa nini yuko pale..... usione nchi inaaaman ukafikir watu wamelala tu .... msipende kufanya kila kitu politik... mtakuja kujiletea makubwa.... si kila kitu uonacho unarusha wengine hata wakihoji yooote noi famours sasa mimi na wewe kaka yako????huko ulikoenda siko dogo
Wewe acha kutisha watu. Eti system.Dogo usijitakie shida ..... system ya nchi unaijua wewe au hii avatar ndo inakudanganya kwaba huwezi patikana?? ya usalama waachie usalama wenyewe wanajua kwa nini yuko pale..... usione nchi inaaaman ukafikir watu wamelala tu .... msipende kufanya kila kitu politik... mtakuja kujiletea makubwa.... si kila kitu uonacho unarusha wengine hata wakihoji yooote noi famours sasa mimi na wewe kaka yako????huko ulikoenda siko dogo
Hivi ni sahihi mjeshi mzungu kuendesha gari ya JWTZ?