Hivi ni sahihi mjeshi mzungu kuendesha gari ya JWTZ?
Hivi ni sahihi mjeshi mzungu kuendesha gari ya JWTZ?
Dogo usijitakie shida ..... system ya nchi unaijua wewe au hii avatar ndo inakudanganya kwaba huwezi patikana?? ya usalama waachie usalama wenyewe wanajua kwa nini yuko pale..... usione nchi inaaaman ukafikir watu wamelala tu .... msipende kufanya kila kitu politik... mtakuja kujiletea makubwa.... si kila kitu uonacho unarusha wengine hata wakihoji yooote noi famours sasa mimi na wewe kaka yako????huko ulikoenda siko dogo
mkuu kama na wewe una ka utalaamu fulani ka kuwafunza askari wetu,uendeko tu,hutakosa gari ya jw ya kujiachia nayo mitaani.Hii nchi wageni wanajiachia sana wakati wazawa tunasota sana!hivi huu utumwa wa fikra utaisha lini?
mkuu kama na wewe una ka utalaamu fulani ka kuwafunza askari wetu,uendeko tu,hutakosa gari ya jw ya kujiachia nayo mitaani.
Hii nchi wageni wanajiachia sana wakati wazawa tunasota sana!hivi huu utumwa wa fikra utaisha lini?