Nimemdharau Tulia Ackson kwa kusema Msimamo wa Rais juu ya kuongeza muda unajulikana badala ya kusema Katiba hairuhusu kuongeza muda

Katika kujibu hoja aloileta Mbunge kuwa Magufuli atake asitake tutamlazimisha kuongeza Muda, Naibu Spika wa Bunge amemalizia kwa kusema NADHANI TUNAJUA MSIMAMO WA RAIS UKOJE JUU YA HILO, HATAKI KUONGEZA.

Maswali yangu: Je, tunafuata feelings za Rais au Katiba inavyosema?

Pili: Vipi Rais akibadili Msimamo au Mtazamo?

Kuna haja ya kuangalia mitazamo yetu upya.

Britannica
Wakiwa kwenye kikao cha chama
 
like father like son, mitano tena
 
Mikwala ya juice kutoa gas
 
sikutegemea kama na jf kuna watu wanavichwa kama maboga, jitu lisikotambua kama kuna katiba na nini maana ya katika, hii jf ya sasa kuna mijitu imetoloka fb inajikita humu kuleta kamasi zao, tuheshimu katiba, tuheshimiane, na atakae ivunja atashughulikiwa tu one day

Sent from my FIG-LX1 using JamiiForums mobile app
 
Katika kujibu hoja aloileta Mbunge kuwa Magufuli atake asitake tutamlazimisha kuongeza Muda, Naibu Spika wa Bunge amemalizia kwa kusema NADHANI TUNAJUA MSIMAMO WA RAIS UKOJE JUU YA HILO, HATAKI KUONGEZA.

Maswali yangu: Je, tunafuata feelings za Rais au Katiba inavyosema?

Pili: Vipi Rais akibadili Msimamo au Mtazamo?

Kuna haja ya kuangalia mitazamo yetu upya.

Britannica
Huyo naye ni bureeee kabisa
 
Mkuu Britanica,
Zamani ulikuwa ukimwelezea Mh Rais kwa sifa chanya lakini siku hizi ni HASI kwenda mbele nadhani kuna maslahi yako yalizibwa na hapakuwa na namna ya wewe kujinasua ndio maana umegeuka ghafla.

Nahisi pia hauko nchini Tanzania maana unajulikana sana pamoja na kwamba hapa unatumia utambulisho ghushi.
Je, jina lako linauhusiano na mafunzo kupitia mitandao au ni kifupi cha majina yako matatu (Given name, middle name na surname)?

Nilikuwa nachanganya na neno Britannica lenye maana ya "Providing digital learning resources designed for all ages and abilities"

Habari za Russia?

Usimchukie kiongozi wako kwa kukuadabisha kutokana na makosa ya utendaji. Kosoa lakini kwa heshima kama wewe unavyotaka uheshimiwe.
Zamani asilimia Kubwa walimpenda Magufuli
Ila
Alipoanzisha yafuatayo
Kiasi cha 15% kukatwa kwenye wanufaika wa Loan Board

Kesi za ovyo ovyo dhidi ya watu wasio na hatia

Kuwaziba midomo wanaomkosoa

Kutumia mahakama kupitia kesi za utakatishaji Kama chanzo Cha mapato na imefika hatua zikaanza kesi za kubambikiwa

Kuwatesa matajiri wasio na Hatia,Mfano wa Rugemalila wa Tegeta Escrow

Kutumia pesa ya nchi bila kibali Cha Bunge
 
Katika kujibu hoja aloileta Mbunge kuwa Magufuli atake asitake tutamlazimisha kuongeza Muda, Naibu Spika wa Bunge amemalizia kwa kusema NADHANI TUNAJUA MSIMAMO WA RAIS UKOJE JUU YA HILO, HATAKI KUONGEZA.

Maswali yangu: Je, tunafuata feelings za Rais au Katiba inavyosema?

Pili: Vipi Rais akibadili Msimamo au Mtazamo?

Kuna haja ya kuangalia mitazamo yetu upya.

Britannica
Msimamo wa Rais ni kwamba hataki nyongeza ya muda, sasa Tulia amekuudhi nini? Au wewe unataka nyongeza ya muda huo kwa hiyo amekuudhi baada ya kuona yeye Tulia ana msimamo sawa na wa Rais? Mnapost vitu hata havieleweki mnawachanganya wasomaji
 
Katika kujibu hoja aloileta Mbunge kuwa Magufuli atake asitake tutamlazimisha kuongeza Muda, Naibu Spika wa Bunge amemalizia kwa kusema NADHANI TUNAJUA MSIMAMO WA RAIS UKOJE JUU YA HILO, HATAKI KUONGEZA.

Maswali yangu: Je, tunafuata feelings za Rais au Katiba inavyosema?

Pili: Vipi Rais akibadili Msimamo au Mtazamo?

Kuna haja ya kuangalia mitazamo yetu upya.

Britannica
Hivi huyu mdada ni mwanasheria wa nini vile?
 
Sasa Katiba ni ya nini? Kiongozi asiyeheshimu Katiba ni wa kuogopa Kama Ukoma
Mkuu ukiona kiongozi anaheshimu katika sio kwamba anaiogopa katiba hapana ni kwa sababu ya utu na ustaarabu wake tu.

Yani kunaweza kusiwe na katiba lakini kiongozi akawa anaendesha nchi vizuri bila kero za wengi.

Lakini pia inaweza kuwepo katiba na kiongozi akafanya manyago.

Tusitegemee kwamba tuna katiba tukadhani tutapata viongozi wazuri,suala la uongozi ni suala la kitabia zaidi na sio katiba.

Mtu msumbufu wa tabia mbovu ni ngumu sana ku.badilisha awe na tabia njema ati kwa kuwa kawa kiongozi bali itazidi.

Tusiitegemee sana katiba mkuu.
 
Maswali yangu: Je, tunafuata feelings za Rais au Katiba inavyosema?
Mkuu ukisoma vizuri utaona hapo mbunge yeye alinasibisha kwa kusema "atake au asitake huyo raisi"

Ukisoma vizuri kauli hiyo maana yake haikuegemezwa katika matakwa ya katiba bali katika matakwa ya Mzee magufuli ndio maana dr tulia akasema kuwa huyu munaetaka aonhezewe muda yeye hatoongeza huo ndo msimamo wake.

Kwa maana dr tulia alikuwa yupo sahihi kwa sababu jambo liliegemezwa katika matakwa ya mtu na sio katiba.

Na hili nadhani ni jambo jema na dr tulia kajibu vizuri sana kwa sababu kama hoja ni katiba inaweza kubadilishwa ule sio msahafu.

Ikibadilishwa katiba maana yake ataongeza muda,lakini kama yeye hataki basi ni jaambo jema sana bila kuangalia katiba inasemaje.
Vipi Rais akibadili Msimamo au Mtazamo?
Swali hili pia inawezekana hata hiyo katiba ikabadilishwa ikawa hakuna ukomo wa uraisi.

Kwa hiyo hata kuangalia katiba sio sahihi kwa sababu nayo muda wowote inaweza kubadilishwa pia kama ambavyo msimamo wa mtu unaweza kubadilika.

Kwa hivyo sio jambo la kuangalia katiba katika hili nadhani mtazamo wa MH Rais ndio jambo la msingi sana.
 
Katika kujibu hoja aloileta Mbunge kuwa Magufuli atake asitake tutamlazimisha kuongeza Muda, Naibu Spika wa Bunge amemalizia kwa kusema NADHANI TUNAJUA MSIMAMO WA RAIS UKOJE JUU YA HILO, HATAKI KUONGEZA.

Maswali yangu: Je, tunafuata feelings za Rais au Katiba inavyosema?

Pili: Vipi Rais akibadili Msimamo au Mtazamo?

Kuna haja ya kuangalia mitazamo yetu upya.

Britannica
Hawa watu wakienda huko wanasahau taaluma zao. Wanaendeshwa na matakwa ya m/kiti na siyo katiba.
 
Wapo hapo kwa nguvu ya mwenyekiti na sio kwa faida ya wananchi.
Kumuongezea mda ni kuwanyima waislamu haki yao.utaratibu ni atoke mkristo anaingia muislamu Ili kudumisha amani na umoja
 
Sisi wananchi wenye mandate ya kuweka madarakani viongozi kamwe hatukosi chaguo jipya kila wakati tunapohitajika kufanya hivyo.

Kwa sababu tunatambua Tanzania ni mamilioni ya watu ambao wengine hata hawajazaliwa bado na watakuja wasimkute Magufuli lakini watahitaji kuwa na kiongozi wao kama sisi tulivyo na Magufuli leo.

hivyo ni jambo sahihi kuimarisha mifumo na kuitumia kuwapata akina Magufuli wengi kila wakati tunapohitajika kufanya hivyo badala ya kumtazama mtu mmoja tu ambaye hatadumu milele biologically na anaweza kubadilika misimamo anytime na hivyo kuhitajika kupimwa na mizani ya sheria na Katiba kila wakati wa uongozi wake.

Kuwaza kuwa mtu binafsi mmoja ndio solution ya mambo kwa taifa litakalodumu mamilioni ya miaka ni umaskini wa akili na utani mkubwa kwa taifa letu,na mawazo ya kijinga na umaskini kama hayo hatupaswi kuyaweka mbele na wanaowaza hivyo hawapaswi kupewa nafasi haijalishi ni akina nani.

Kabla hamjawaza kumuongezea muda njoo muulize wananchi tuwaambie kama tunaye Magufuli mwingine au hatuna!Acheni ujinga!

Namshauri Rais Magufuli kwa heshima yake kama kiongozi muadilifu anayeipenda Tanzania ya leo na ile ya kesho ambayo yeye na sisi wote hatutakuwepo,awakemee hawa wajinga wanaoona hakuna maisha bila yeye,maana Tanzania wanayoiwaza wao ni matumbo yao tu,yatakayoishia kaburini siku wakifa,au siku Magufuli akiondoka madarakani,wala hawawezi kuwaza beyond that,sababu ni wabinafsi wasiowaza maslahi mapana ya nchi.
 
Back
Top Bottom