Nimemdharau Tulia Ackson kwa kusema Msimamo wa Rais juu ya kuongeza muda unajulikana badala ya kusema Katiba hairuhusu kuongeza muda

Katika kujibu hoja aloileta Mbunge kuwa Magufuli atake asitake tutamlazimisha kuongeza Muda, Naibu Spika wa Bunge amemalizia kwa kusema NADHANI TUNAJUA MSIMAMO WA RAIS UKOJE JUU YA HILO, HATAKI KUONGEZA.

Maswali yangu: Je, tunafuata feelings za Rais au Katiba inavyosema?

Pili: Vipi Rais akibadili Msimamo au Mtazamo?

Kuna haja ya kuangalia mitazamo yetu upya.

Britannica
Mkuu Britanica,
Zamani ulikuwa ukimwelezea Mh Rais kwa sifa chanya lakini siku hizi ni HASI kwenda mbele nadhani kuna maslahi yako yalizibwa na hapakuwa na namna ya wewe kujinasua ndio maana umegeuka ghafla.

Nahisi pia hauko nchini Tanzania maana unajulikana sana pamoja na kwamba hapa unatumia utambulisho ghushi.
Je, jina lako linauhusiano na mafunzo kupitia mitandao au ni kifupi cha majina yako matatu (Given name, middle name na surname)?

Nilikuwa nachanganya na neno Britannica lenye maana ya "Providing digital learning resources designed for all ages and abilities"

Habari za Russia?

Usimchukie kiongozi wako kwa kukuadabisha kutokana na makosa ya utendaji. Kosoa lakini kwa heshima kama wewe unavyotaka uheshimiwe.
 
Ngoma ikilia sana unakaribia kupasuka, sasa ni mwendo mdundo CCM mbele kwa kwembelee. Hili ni chaguo lao na wanaona kweke yeye wanaweza kubaki madarakani milele kwa nini wasipendelee abaki milele? Uchaguzi wa mwaka huu ni kielelezo tosha kugombea kwa tiketi ya CCM maana yake ubunge au uwaziri direct bila chenga. Ni nani asiependa hili utakuwa mwendawazimu usipende hili. Kitakacho waangusha ni Rais mwenyewe akikataa katakata. Inabidi watafute tena candidate anaekubalika na anaeweza kuvaa viatu vya Rais wa sasa ili aendeleze wembe uleule. CCM Hoyee.
 
Katika kujibu hoja aloileta Mbunge kuwa Magufuli atake asitake tutamlazimisha kuongeza Muda, Naibu Spika wa Bunge amemalizia kwa kusema NADHANI TUNAJUA MSIMAMO WA RAIS UKOJE JUU YA HILO, HATAKI KUONGEZA.

Maswali yangu: Je, tunafuata feelings za Rais au Katiba inavyosema?

Pili: Vipi Rais akibadili Msimamo au Mtazamo?

Kuna haja ya kuangalia mitazamo yetu upya.

Britannica
Yaani hamjui kuwa Rais anauwezo wa ku influence mabadiliko ya Katiba? Wa kisifiwa ni Magufuri kuamua kuheshimu hiyo Katiba. Mseveni amweza nae angeweza.
 
Katika kujibu hoja aloileta Mbunge kuwa Magufuli atake asitake tutamlazimisha kuongeza Muda, Naibu Spika wa Bunge amemalizia kwa kusema NADHANI TUNAJUA MSIMAMO WA RAIS UKOJE JUU YA HILO, HATAKI KUONGEZA.

Maswali yangu: Je, tunafuata feelings za Rais au Katiba inavyosema?

Pili: Vipi Rais akibadili Msimamo au Mtazamo?

Kuna haja ya kuangalia mitazamo yetu upya.

Britannica
Je wenzake wangeongezea muda yeye angeupataje uraisi,nadhani raisi alishasema hataongeza muda na kazi ya uraisi ni ngumu,mara nyingi wapambe ndio huleta matatizo angejifunza kwa Trump ,wale wapambe wake wamemkimbia na sasa ataanza kuhangaika na kesi kibao. Ni makosa kumfanya mtu kama mungu mtu.
 
Siyo mwenyekiti Mbowe bali Kikao halali cha chadema kwa umoja wao ccm wakapinga kupitia ndugai kwa sababu dola ni yao.
Kwa hiyo wabunge kikatiba ni lazima wawakilishe chama, lakini hawa hawawakilishi chama.

Wanakuwaje wabunge bila ya kuwa wanachama wa chama chochote?

Mbona sisikii watu kukemea huu uvunjaji wa katiba?
 
Katika kujibu hoja aloileta Mbunge kuwa Magufuli atake asitake tutamlazimisha kuongeza Muda, Naibu Spika wa Bunge amemalizia kwa kusema NADHANI TUNAJUA MSIMAMO WA RAIS UKOJE JUU YA HILO, HATAKI KUONGEZA.

Maswali yangu: Je, tunafuata feelings za Rais au Katiba inavyosema?

Pili: Vipi Rais akibadili Msimamo au Mtazamo?

Kuna haja ya kuangalia mitazamo yetu upya.

Britannica

Zingatia neno NADHANI
 
Hako kabibi nilikwishakadharau. Kameweka akili, taaluma na weledi pembeni, sasa na kenyewe hakana tofauti na Deo Sanga aliyeishia darasa la pili, halafu akawa msaidizi wa mganga wa kienyeji.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wote huwa hawakubali ila wananchi ndo huamua,kama ambavyo tunasubiri muda tu alazimishwe maana hatuna uhakika tutapata mtu mwenye uwezo wa kugomea chanjo za mabeberu na kukataa lockdown.
 
Hawa wana CCM wanatuzuga tu...hapa kuna kitu kinakwenda kufanyika!! wameanza kupima upepo!!
Mkuu Fuso nakubaliana na wewe, Bunge ni lao kwa hiyo quorum ya theluthi mbili wanayo ili kuweza kufanya mabadiliko yoyote yale. Huu ni mwaka 2021 inatupasa tusikilizie hadi mwaka 2023 ndipo tuweze kuujua msimamo halisi wa Mkulu mwenyewe.

Madai yatakuja kuwa kuna miradi mingi ya kimkakati bado hajaikamilisha, ambapo akija mwingine ataharibu. Ninavyowajua "veggies" itampasa naye azuge tu, na ajifanye anakubali kwa shingo upande.
 
Katika kujibu hoja aloileta Mbunge kuwa Magufuli atake asitake tutamlazimisha kuongeza Muda, Naibu Spika wa Bunge amemalizia kwa kusema NADHANI TUNAJUA MSIMAMO WA RAIS UKOJE JUU YA HILO, HATAKI KUONGEZA.

Maswali yangu: Je, tunafuata feelings za Rais au Katiba inavyosema?

Pili: Vipi Rais akibadili Msimamo au Mtazamo?

Kuna haja ya kuangalia mitazamo yetu upya.

Britannica
Alishasema hataki kuongeza muda
 
Kwa hiyo wabunge kikatiba ni lazima wawakilishe chama, lakini hawa hawawakilishi chama.

Wanakuwaje wabunge bila ya kuwa wanachama wa chama chochote?

Mbona sisikii watu kukemea huu uvunjaji wa katiba?
Nani akemee wakati ndugai na mkuu wake walishapanga kitambo na wanajua nini wanafanya ili kuidhoofisha chadema kwa sababu tu za kikabila,ona ccm walivyombeba lipumba wakati alipotangaza kuwa hawatambui wabunge wa ukawa kupitia cuf,lakini leo kwa sababu ni chadema hawana haki.
 
Nadhani alichoongea Tulia ni sahihi zaidi maana katiba ya leo inaweza isiwe ya kesho

Ila yote kwa yote inategemeana na nguvu ya umma🤗
Hapana,kauli ile ya Naibu Spika inamaanisha kuwa JPM akisema nataka kuongeza watafanya hivyo.Hivyo JPM ndiye anasikilizwa anataka nini.
 
Katika kujibu hoja aloileta Mbunge kuwa Magufuli atake asitake tutamlazimisha kuongeza Muda, Naibu Spika wa Bunge amemalizia kwa kusema NADHANI TUNAJUA MSIMAMO WA RAIS UKOJE JUU YA HILO, HATAKI KUONGEZA.

Maswali yangu: Je, tunafuata feelings za Rais au Katiba inavyosema?

Pili: Vipi Rais akibadili Msimamo au Mtazamo?

Kuna haja ya kuangalia mitazamo yetu upya.

Britannica
Katiba huwa inafanyiwa mabadiliko kama kuna utashi mkuu

Sent from my SM-T295 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom