nimemchukua dada kaja mdogo mtu tabu tupu

nimemchukua dada kaja mdogo mtu tabu tupu

appoh

JF-Expert Member
Joined
Mar 14, 2013
Posts
5,826
Reaction score
3,098
juzi juzi nilianza kazi hivyo ikabidi niishi na girlfriend wangu nwa siku nyingi kama mke na mume nyinyi wenyewe si mnajua ndoa za mjini mjini ukimkwapua kwao tu ndio ushaoa hivyo.
sasa tabu inakuja wapi yaani ndio kwanza nimenunua kitanda na tv yaani naanza maisha nina miezi 3 tangu nianze kazi kuna mdogo mtu sijui katowka wapi nae kaja anataka kuishi nkumfukuza nashindwa sijui nifanyeje naona hiki kitakua kitakuwa kwenye maendeleo yangu nifanyeje?
 
Duuh...pole sana mkuu,...wewe mwambie dada yake kwa hekima kwamba mambo bado hajakaa vema hivyo amwambie mdogo wake arudi home.
 
ndo tabu ya watu wa uswazi,dada akiolewa wanahamishia makazi huko khaa pole yako mwelewane na mkeo aongee nae arudi home,maisha yenyewe yako wapi!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
ndo tabu ya watu wa uswazi,dada akiolewa wanahamishia makazi huko khaa pole yako mwelewane na mkeo aongee nae arudi home,maisha yenyewe yako wapi!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!

Yeah...jamaa bado haja_stablize,...ila njia nzuri ya kuzuia haya mambo ni kupanga chumba kimoja mpaka mambo uyaweke sawa.
 
Msepeshe mkuu kwani ulimtumia barua ya mwaliko? Watu wa siku hizi kwa kupenda vya mtelemko noma kwao kashindwa nini kukaa, mfukuze tu mkuu
 
pole sana kijana ila ongea na mtarajiwa wako taratiiibu kabisa kuhusu hali ya maisha naamin atakuelewa tu ila najiuliza alivyoondoka nyumban aliaga anaenda wapi???
 
juzi juzi nilianza kazi hivyo ikabidi niishi na girlfriend wangu nwa siku nyingi kama mke na mume nyinyi wenyewe si mnajua ndoa za mjini mjini ukimkwapua kwao tu ndio ushaoa hivyo.
sasa tabu inakuja wapi yaani ndio kwanza nimenunua kitanda na tv yaani naanza maisha nina miezi 3 tangu nianze kazi kuna mdogo mtu sijui katowka wapi nae kaja anataka kuishi nkumfukuza nashindwa sijui nifanyeje naona hiki kitakua kitakuwa kwenye maendeleo yangu nifanyeje?

wee kwa nini umeweka goma ndani? mgegede huko huko kwake
 
ukipenda boga penda na uwa lake km ulikuwa haujajipanga kwanini ulimchukua dada ake?tatizo dogo unapenda sana kutelezesha pale kati!
 
ndo tabu ya watu wa uswazi,dada akiolewa wanahamishia makazi huko khaa pole yako mwelewane na mkeo aongee nae arudi home,maisha yenyewe yako wapi!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!

Duh,nashukuru kuoa last born.
 
Kosa namba moja, unaishi na mwanamke bila kufunga ndoa.
Kosa namba mbili, umeamua kuukaribisha ufukara kwa kuanza kuishi na mwanamke wakati huna hata msingi imara kiuchumi.
Kwa makosa hayo adhabu mojawapo ni kama hiyo adha uipatayo sasa.
Naona unajiuliza kuwa mdogo mtu katokea wapi, labda ngoja nikupe mwangaza. Mdogo mtu kaitwa na kuletwa hapo nyumbani na huyo mchumba wako. Kitendo cha kumuweka ndani kinyumba kimeshamuhakikishia ndoa, hivyo ameshaanza kuchukua maamuzi ya kimama.

Ushauri.
Mti huwa unakatwa kwenye shina; kwa kuwa hamjafunga ndoa, basi ni vyema ukatengana kinyumba na huyo mkeo mtarajiwa hadi hapo mtapofunga ndoa. Ukifanya hivyo hata mzigo wa huyo binti utakuwa umeuepuka.
 
Back
Top Bottom