upi sasa alafu katoka mbali kigoma hata tv hakuna basi 24 7 habanduki
juzi juzi nilianza kazi hivyo ikabidi niishi na girlfriend wangu nwa siku nyingi kama mke na mume nyinyi wenyewe si mnajua ndoa za mjini mjini ukimkwapua kwao tu ndio ushaoa hivyo.
sasa tabu inakuja wapi yaani ndio kwanza nimenunua kitanda na tv yaani naanza maisha nina miezi 3 tangu nianze kazi kuna mdogo mtu sijui katowka wapi nae kaja anataka kuishi nkumfukuza nashindwa sijui nifanyeje naona hiki kitakua kitakuwa kwenye maendeleo yangu nifanyeje?
Bado utapata majaribu tu!kuna watoto wa , mama wadogo/wa kubwa,wajomba n.k na hawa ni wasumbufu sana kuliko hata wa kuzaliwa na mwenzako.:boink:Duh,nashukuru kuoa last born.
upi sasa alafu katoka mbali kigoma hata tv hakuna basi 24 7 habanduki
ni vizuri ukamwambia mchumba wako amwambie arudi home.
Arudi home ana nauli ya kurudia? Hakuja na ticket ya go and return.
Duh,nashukuru kuoa last born.
Watoto bwana mawazo yao yote ni kegegeda tu, ndoa ni maisha kugegeda ni kisehemu kidogo sana kwenye maisha ya ndoa.wee kwa nini umeweka goma ndani? mgegede huko huko kwake
Kama ni wa kike, dawa yake ni ndogo sana......! Ngoja wadau waongee meeengi, mie nitafunga mjadala baadae!juzi juzi nilianza kazi hivyo ikabidi niishi na girlfriend wangu nwa siku nyingi kama mke na mume nyinyi wenyewe si mnajua ndoa za mjini mjini ukimkwapua kwao tu ndio ushaoa hivyo.
sasa tabu inakuja wapi yaani ndio kwanza nimenunua kitanda na tv yaani naanza maisha nina miezi 3 tangu nianze kazi kuna mdogo mtu sijui katowka wapi nae kaja anataka kuishi nkumfukuza nashindwa sijui nifanyeje naona hiki kitakua kitakuwa kwenye maendeleo yangu nifanyeje?
fuga kuku kazi iwe kwenye banda la kuku,namaanisha tafuta njia yoyote ya kumtumia ku
kuingizia kipata,akiona hwezi asonge mbele.
Watoto bwana mawazo yao yote ni kegegeda tu, ndoa ni maisha kugegeda ni kisehemu kidogo sana kwenye maisha ya ndoa.
fanya nao mapenzi wote