nimemchukua dada kaja mdogo mtu tabu tupu

nimemchukua dada kaja mdogo mtu tabu tupu

Watanzania tunakubali kuwa maskini kwa sababu ya woga wetu.
ndio umeanza life unaletewe mdogo mtu utajijengaje kimaisha?
we mweleze kweli maisha hayakaa vema..
tuwe kama wachaga wako serious,mtu akitaka kusaidiwa ni huku huko aliko na sio aje kuleta kiwingu
Ni heri lawama kuliko fedheha ndugu.
kesho utaletewa wakwe nao mbanane huko huko
 
ni kabinti cha 19 -20

Sioni tatizo, sisi wagogo tunamaanisha atamsaidia dada yake katika siku 3-7 za mwezi akiwa.... unaweza kudokoa hata akiumwa dada au akiwa busy, tunaruhusu hiyo. sijui kwa wamasai ikoje?
 
waambie warudi kwao wote ukishanunua vitu waite waje pamoja na mama yao na shangazi!
 
juzi juzi nilianza kazi hivyo ikabidi niishi na girlfriend wangu nwa siku nyingi kama mke na mume nyinyi wenyewe si mnajua ndoa za mjini mjini ukimkwapua kwao tu ndio ushaoa hivyo.
sasa tabu inakuja wapi yaani ndio kwanza nimenunua kitanda na tv yaani naanza maisha nina miezi 3 tangu nianze kazi kuna mdogo mtu sijui katowka wapi nae kaja anataka kuishi nkumfukuza nashindwa sijui nifanyeje naona hiki kitakua kitakuwa kwenye maendeleo yangu nifanyeje?
NDO MAANA WAZEE WETU WALIKUWA WANACHUNGUZA KWANZA KABLA YA KUOA.... Maana familia zingine ni za wahamiaji tu...
 
Back
Top Bottom