mnyime pesa uone kama hajakuacha mwenyeweSio umemchoka, sema dhamira inakusuta.
Sasa kama ulivyomtongoza kaa nae mwambie umeamua kutulia na mkeo. Ataumia lakini atasahau
Una umri gani? Nauliza kwa kitendo chako cha kuuliza swali kama hili. Hili ni swali la vijana wanaobalehe. Kwa umri wa kuweza kuoa halafu unaleta swali kama hili hata kama ni la kutunga, basi una matatizo ya ufahamu. Au vyuma vimebana hadi kuondoa akili.Huyu binti niko nae kwenye mahusiano ni mwaka sasa na tayari anafahamu nina mke na mtoto.Kila nikimtafutia sababu ili nimuache najikuta nashindwa mana kiukweli hajawahi kunikosea kosa ambalo litanifanya nimuache kiurahisi.
Tangu nimeanza nae mahusiano hakuna hata siku moja ambayo mke wangu amegundua kwamba niko kwenye mahusiano na mwanamke mwingine wa nje.Nahisi namkosea sana mke wangu hivyo nataka niachane na haya mambo ya michepuko nitulie tu na mama watoto wangu.
Nitumie njia gani kumuacha ili asijiskie vibaya ?
Karibuni
Sio umemchoka, sema dhamira inakusuta.
Sasa kama ulivyomtongoza kaa nae mwambie umeamua kutulia na mkeo. Ataumia lakini atasahau
Ye Binti anamjua mkeo??Huyu binti niko nae kwenye mahusiano ni mwaka sasa na tayari anafahamu nina mke na mtoto.Kila nikimtafutia sababu ili nimuache najikuta nashindwa mana kiukweli hajawahi kunikosea kosa ambalo litanifanya nimuache kiurahisi.
Tangu nimeanza nae mahusiano hakuna hata siku moja ambayo mke wangu amegundua kwamba niko kwenye mahusiano na mwanamke mwingine wa nje.Nahisi namkosea sana mke wangu hivyo nataka niachane na haya mambo ya michepuko nitulie tu na mama watoto wangu.
Nitumie njia gani kumuacha ili asijiskie vibaya ?
Karibuni
Huwa nawashangaa sana mwanawake ambaye anakubali kuwa mchepuko "knowingly".... akiwa anafahamu kabisa kuwa anayemtongoza ni mume wa mwanamke mwenzie....!!! 🙁🙁🙁🙁Sio umemchoka, sema dhamira inakusuta.
Sasa kama ulivyomtongoza kaa nae mwambie umeamua kutulia na mkeo. Ataumia lakini atasahau
kwan wewe unachokipata kwa mama watoto hakitoshi ? tamaa tu yaani njia ulioitumia igeze opHuyu binti niko nae kwenye mahusiano ni mwaka sasa na tayari anafahamu nina mke na mtoto.Kila nikimtafutia sababu ili nimuache najikuta nashindwa mana kiukweli hajawahi kunikosea kosa ambalo litanifanya nimuache kiurahisi.
Tangu nimeanza nae mahusiano hakuna hata siku moja ambayo mke wangu amegundua kwamba niko kwenye mahusiano na mwanamke mwingine wa nje.Nahisi namkosea sana mke wangu hivyo nataka niachane na haya mambo ya michepuko nitulie tu na mama watoto wangu.
Nitumie njia gani kumuacha ili asijiskie vibaya ?
Karibuni
Unamkaribisha nani sasa?? pambana na uchafu wako..rubbish
mlango ulioingilia ndo huohuo utaotokea.
nipe namba za huyu mchepuko wako nam nimfinyeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeHuyu binti niko nae kwenye mahusiano ni mwaka sasa na tayari anafahamu nina mke na mtoto.Kila nikimtafutia sababu ili nimuache najikuta nashindwa mana kiukweli hajawahi kunikosea kosa ambalo litanifanya nimuache kiurahisi.
Tangu nimeanza nae mahusiano hakuna hata siku moja ambayo mke wangu amegundua kwamba niko kwenye mahusiano na mwanamke mwingine wa nje.Nahisi namkosea sana mke wangu hivyo nataka niachane na haya mambo ya michepuko nitulie tu na mama watoto wangu.
Nitumie njia gani kumuacha ili asijiskie vibaya ?
Karibuni
Mkuu nimekuelewaTafuta mdada, panga nae ajifanye ndiyo mkeo...ampigie simu hiyo small house, akimwambia amegundua mahusiano yenu, na ampige biti la nguvu....Then mpigie/kutana nae small house mwambie tu bhana wife amegundua..na mwambie msitishe mahusiano.
....Hii mbinu nishaitumia na kuleta mafanikio...
Unadhani mkiambiwa ukweli kwamba tumeoa mtatukubalia,tunawaficha kwanza mpaka tule ndo tunawaambia tukijua hatuna cha kupoteza.Hata wewe unaweza ukatongozwa na mme wa mtu bila kujua mark my word.Huwa nawashangaa sana mwanawake ambaye anakubali kuwa mchepuko "knowingly".... akiwa anafahamu kabisa kuwa anayemtongoza ni mume wa mwanamke mwenzie....!!! 🙁🙁🙁🙁
Badili dini mkuuHuyu binti niko nae kwenye mahusiano ni mwaka sasa na tayari anafahamu nina mke na mtoto. Kila nikimtafutia sababu ili nimuache najikuta nashindwa maana kiukweli hajawahi kunikosea kosa ambalo litanifanya nimuache kiurahisi.
Tangu nimeanza nae mahusiano hakuna hata siku moja ambayo mke wangu amegundua kwamba niko kwenye mahusiano na mwanamke mwingine wa nje. Nahisi namkosea sana mke wangu hivyo nataka niachane na haya mambo ya michepuko nitulie tu na mama watoto wangu.
Nitumie njia gani kumuacha ili asijisikie vibaya ?
Karibuni
Nakubaliana na ulichosema hapo kwenye bold...... Ninachongaaa ni pale mwanamke anapotongozwa na mume wa mtu.... Akijua ni mume wa mtu..... Na anakubaliana na yatakayojiri.... Scenario kama ya mwanzisha uzi huu..... !!!!Unadhani mkiambiwa ukweli kwamba tumeoa mtatukubalia,tunawaficha kwanza mpaka tule ndo tunawaambia tukijua hatuna cha kupoteza. Hata wewe unaweza ukatongozwa na mume wa mtu bila kujua mark my word.