Nimemchoka ila nashindwa kumwambia

Nimemchoka ila nashindwa kumwambia

mwambie tu kuwa unahitaji kutulia na mamaa na huna mpango wa kuongeza mke.. ataumia ila ndio ukweli atakuelewa kuliko kuanza visa mpaka mkeo atagundua na itakuwa shida nyingine...!!!
 
Huyu binti niko nae kwenye mahusiano ni mwaka sasa na tayari anafahamu nina mke na mtoto.Kila nikimtafutia sababu ili nimuache najikuta nashindwa mana kiukweli hajawahi kunikosea kosa ambalo litanifanya nimuache kiurahisi.

Tangu nimeanza nae mahusiano hakuna hata siku moja ambayo mke wangu amegundua kwamba niko kwenye mahusiano na mwanamke mwingine wa nje.Nahisi namkosea sana mke wangu hivyo nataka niachane na haya mambo ya michepuko nitulie tu na mama watoto wangu.

Nitumie njia gani kumuacha ili asijiskie vibaya ?

Karibuni
Mkeo anajua,isipokuwa ana busara zaidi yako.Kwa nini? Ameamua kukuchora tu kwa kuamini nafsi itakusuta na utaacha.Taarifa zenu zilizo nyingi zimemfikia lakini ameamua akaze moyo.
Kwa tulio kwenye ndoa(mimi ni ME); mara nyingi tunajua kila kitu isipokuwa ukiwa na busara unaamua kutogombana na mwenza kwa kuwa kila mtu ni mtu mzima na anajua zuri na baya.
Mara nyingi wachepukaji mnapeana tuition kwa kuwa mnaelezana dondoo muhimu zinazomuhusu mwenza wako.Kwa mfano his/her daily time table,mnahangaika sana na simu, mnajifanya kucare sana,pia huwa mnashtuka sana(panic) pale linapoongelewa jambo fulani linalolenga kudadisi lolote lenye mwelekeo huo,huwa mnabadilika sana hasa mnaposafiri na kuwa mbali na wenza wenu.
Haya ni baadhi ya mambo ambayo nimejifunza kupitia watu wangu wa karibu ambao hunifikishia malalamiko juu ya wenza wao pale ninapowahoji kuhusu uthibitisho wa malalamiko yao.
Kwa hiyo mkuu,kama ulivyoenda rudi hivyo hivyo kwa kuwa muosha huoshwa.
 
Nalo neno
Mimi kwa kweli kama mwanamke kanipenda kwa dhati km huyo na kajisubmit namm nikampenda na imani inaruhusu, kwann nisimuoe akawa wa Pili . Inapasa tuwahudumie wanawake wenye mapenzi na nidham ktk maisha maana wana nyoyo. Kumwacha mwanamke anayekupenda na kukuthamini hata km una mke ni kumwonea sana. Hana MTU mwingine anayempenda zaidi Yako unafikiri ataenda kwa Nani? Vinginevyo km mwanaume huna mpango wa badae na Mtt wa watu acha usimtongoze unamharibia future. Tafuta wale wa kupita ambao hawataki ndoa km kina naniliu....
 
Mimi imani yangu hairuhusu kupiga na kupita.Bali nikienda ni ndoa tu.
 
Huyu binti niko nae kwenye mahusiano ni mwaka sasa na tayari anafahamu nina mke na mtoto.Kila nikimtafutia sababu ili nimuache najikuta nashindwa mana kiukweli hajawahi kunikosea kosa ambalo litanifanya nimuache kiurahisi.

Tangu nimeanza nae mahusiano hakuna hata siku moja ambayo mke wangu amegundua kwamba niko kwenye mahusiano na mwanamke mwingine wa nje.Nahisi namkosea sana mke wangu hivyo nataka niachane na haya mambo ya michepuko nitulie tu na mama watoto wangu.

Nitumie njia gani kumuacha ili asijiskie vibaya ?

Karibuni
Tuliza kichwa naona una stress. Unakumbuka Kwanini wanaume wanaongoza kwa kuchepuka kuliko wanawake?Kwanini wanaume wanaongoza kwa kuchepuka kuliko wanawake?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom