Nimemchoka ila nashindwa kumwambia

Nimemchoka ila nashindwa kumwambia

Ukitaka kumuacha mkutanishe na mkeo [emoji23][emoji23][emoji23]dawa ya moto maji

emoji23.png
emoji23.png
emoji23.png
emoji23.png
emoji23.png
emoji23.png
emoji23.png
emoji23.png
emoji23.png
 
Mwelekeze kwamba kwa sasa unahitaji kuwa karibu na familia yako .. na yeye aanzishe familia yake... au una mpango wa kumfanya mke wa pili ...ataishi kama mchepuko mpaka lini?
 
Huwa nawashangaa sana mwanawake ambaye anakubali kuwa mchepuko "knowingly".... akiwa anafahamu kabisa kuwa anayemtongoza ni mume wa mwanamke mwenzie....!!! 🙁🙁🙁🙁
Yani wanawake wa hivyo ni mafala acha wachezewe
 
anza kuchepuka yeye wenyewe tu atajua kuwa nmechokwa!!!
 
Hawa wanakuwaga hawana kosa la kumuacha mwisho wa siku unalenga kwenye yai!ukitaka kumuacha mwambie mkeo kuwa una mchepuko
 
Hahahahahahahaa.......Mwanaume mnavisa sana.
Mbona rahisi sana, siku ya kuchepuka abebe chupi 2 za kike halafu akimvua yake azichanganye na zile mbili wakimaliza akidai chupi yake atoe mfukoni na zile mbili halafu ashituke amwambie achague yake hakuitazama rangi.
 
Vyuma vimekaza wataterekezwa wengi sana vimada wa nje mjipange kisaikolojia maana watu tunarudi kwa wake źetu kwa speed .JPM kafanya watu wameacha kunywa pombe hakuna hela ya mgawanyo na vimada
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom