Nimemchoka ila nashindwa kumwambia

Nimemchoka ila nashindwa kumwambia

Huwa nawashangaa sana mwanawake ambaye anakubali kuwa mchepuko "knowingly".... akiwa anafahamu kabisa kuwa anayemtongoza ni mume wa mwanamke mwenzie....!!! 🙁🙁🙁🙁
Huwa inashangaza ila pia ni makubaliano kati yao... Uzuri hawabakwi!!
 
Huyu binti niko nae kwenye mahusiano ni mwaka sasa na tayari anafahamu nina mke na mtoto. Kila nikimtafutia sababu ili nimuache najikuta nashindwa maana kiukweli hajawahi kunikosea kosa ambalo litanifanya nimuache kiurahisi.

Tangu nimeanza nae mahusiano hakuna hata siku moja ambayo mke wangu amegundua kwamba niko kwenye mahusiano na mwanamke mwingine wa nje. Nahisi namkosea sana mke wangu hivyo nataka niachane na haya mambo ya michepuko nitulie tu na mama watoto wangu.

Nitumie njia gani kumuacha ili asijisikie vibaya ?

Karibuni
Simple..sema

Simple ...sema huna hela. Utaachwa bila kuacha.
 
Nakubaliana na ulichosema hapo kwenye bold...... Ninachongaaa ni pale mwanamke anapotongozwa na mume wa mtu.... Akijua ni mume wa mtu..... Na anakubaliana na yatakayojiri.... Scenario kama ya mwanzisha uzi huu..... !!!!
Hata yeye wakati namtongoza hakua akijua kama nina mke sababu sikumwambia mana ningemwambia mapema asingenikubali.
 
Nokutanishe nae bila yeye kujua and then siku nikiwa nakula mzigo we jifanye umetufumania basi hapo utakuwa umepata sababu
 
MUOMBE TIGO TEGO JISIFU KUWA WW NI MDAU MKUBWA.......TENA MWAMBIE ULIMUENDEAGA KWA MGANGA UKAMTEKA AKILI AKUPENDE
 
nitumie namba zake, akiwa busy na mimi wewe atakusahau taratibu.....!
 
Huyu binti niko nae kwenye mahusiano ni mwaka sasa na tayari anafahamu nina mke na mtoto. Kila nikimtafutia sababu ili nimuache najikuta nashindwa maana kiukweli hajawahi kunikosea kosa ambalo litanifanya nimuache kiurahisi.

Tangu nimeanza nae mahusiano hakuna hata siku moja ambayo mke wangu amegundua kwamba niko kwenye mahusiano na mwanamke mwingine wa nje. Nahisi namkosea sana mke wangu hivyo nataka niachane na haya mambo ya michepuko nitulie tu na mama watoto wangu.

Nitumie njia gani kumuacha ili asijisikie vibaya ?

Karibuni
ukiona hivyo, jua mke wako naye anaye mchepuko wake. ndo maana hakuingilii . ngoma droo hujajua tu.
 
ulikuwa na mtaji wa kumhonga sasa umeishiwa unaomba ushauri kwetu sasa nakushauri pambana na hari yako
 
Dah pole sana mkuu ila muhim ni hiv
Chukua cmu ya mkeo mpgie nayo nakuchat nae then usifute chochote utapata matokeo baada ya siku moja kuwa mmeachana
 
Mkung'ute vipigo mfululizo atakuacha mwenyewe.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom